Ninauza gari grand vitara toka uk, ya mwaka 2002

kipusy

JF-Expert Member
May 7, 2010
639
321
Suzuki aina Grand VITARA ya 2002, 5 doors, 1900cc, Black inauzwa shilingi milion 17. Iko kwenye hali nzuri, imetoka Uingereza. angalia attachment....picha zake kama unahitaji piga hii namba +255757 464746

 
Imeshalipiwa ushuru, ila bado haijasajiliwa TZ

system ya sasa hivi ya TRA unalipa ushuru, registration na anual road licence kwa pamoja ndiiyo unatoa gari bandarini au ICD
 
Back
Top Bottom