Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,217
- 85,356
Bimkubwa amesema wazi kabisa kwamba ahitaji kushauriwa juu ya nini afanye kwa mzazi mwenzie huyo, bali yeye ameomba kusaidiwa kile ambacho anaona kinampa msukumo moyoni mwake....Mama hebu kuwa na akili komavu. Kama huna pesa za kusafiri huhitaji kuchangiwa ukamuone ex tena usikute ameoa utakuta kebehi huko.
Kama anaongea mpigie simu umpe pole Na muombee Mungu ampende zaidi ili na wewe uolewe wenyewe wanasema 'oa single maza kama mumewe kafa'
Mkuu, wewe kama una mahasira na mzazi mwenzio basi usihamishie mtazamo wako kwenye huu uzi.
Bimkubwa hajaomba ushauri zaidi ya mchango wako ambao ni muhimu sana kwa haja ya moyo wake.....