Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

Kwa iPhone kutoa iCloud inawezekana,
Ila inatumia Muda kidogo ku-jail break process zake!!!....Ndo maana kila baada ya Muda Huwa wanatoa updates kwa ajili ya kudhibiti access.
Kwa hapa town nawafamu vijana 2 wanakufanyia iyo kazi .Ila ghalama zake sio hizo twenty,ni km 120 mpk 200.pia inategemea km ilikuwa imeripotiwa lost au hapana!!,km lost status encryption inakuwa ngumu na ghalama zinaongezeka.
Inawekana ku bypass iCloud.
Pia nawe unaongea usichokijua pia.
watu mtakuwa mnachanganya sim lock na icloud.
Pia kumbuka pangu na taig ndiyo wanaotoa tools za kujail break iphone now hawajatoa ya kujail break os mpya ya ios sasa.
 
We kweli kilaza, kumbe umetoa iPhone 4, It means hata hufahamu kwamba iPhone 4 is no longer supported when upgrading to latest iOS which have key feature of icloud lock

iCloud locked iko hata kwa Iphone 4, then only thing kuhusu iphone 4 ni kuwa huwezi upgrade to IOS 7 and other higher version
 
iCloud locked iko hata kwa Iphone 4, then only thing kuhusu iphone 4 ni kuwa huwezi upgrade to IOS 7 and other higher version
Hilo ndilo linaifanya isiwe na security ya kutosha kama simu nyingine za iphone na kwakujua hilo apple wameshaacha kuisupport kwa kutoa updates kwa ajili yake maana haiwezi kwendana na uwezo wanaohitaji simu iwe nayo kwa sasa.
 
Kutoa iCloud ya simu from iphone 5 si rahisi, mimi mwenyewe nlishindwa mana njia zote ziko very delicate kuharibu simu husika. Usipoteze mda ndgu ila baada ya miezi sita mimi ntakuwa na uwezo huo. Redirecting apple server ndiyo njia rahisi lakini is very complicated kwa watumiaji wa kawaida
 
Uki redirect server unaigeuza simu kuwa ipod maana baada ya hapo inakuwa haisomi network
 
ni email ambayo inakufanya uweze kushusha program appstore kama ilivyo kwa andros tunaita gmail kWA CMU ZA iphone TUNAITA ICLOUD
Kumbe hata maana ya icloud huijui mkuu.
hivi unajua kwenye icloud unaweza tumia email yoyote mfano mimi natumia email yangu ya gmail kwenye iphone kote kushusha apps as apple id na kama username ya icloud account?
 
I cloud inatoka mazee wala msidhani haitoki
Kwa simu zipi? Version gani ya iOS? Wengi wanachanganya "Bypass" iCloud activation na "Remove" iCloud account!
Kuing'oa iCloud account kwenye simu ya mtu ambaye ameiset ON siyo jambo rahisi kwa sababu hizo details ziko stored kwenye server za apple, ili uitoe au uifungue icloud account lazima uidanganye server ya Appe, siyo jambo dogo!
 
ni email ambayo inakufanya uweze kushusha program appstore kama ilivyo kwa andros tunaita gmail kWA CMU ZA iphone TUNAITA ICLOUD
Mh icloud sio email ni mfumo ambao unamuanganisha mtumiaji wa iPhone katika database ya Apple ivyo ana uwezo wa kushares na Ku store vitu vyake katika Remote Server ivyo ugumu wa kufungua inakuja sababu inakubidi uingilie mfumo wa apple
 
Yaani kwa sababu umemaliza IT ndo unaweza kutoa lock ya icloud? in such a cheap way? WOw! hapa ataibiwa mtu sasa ivi. Mkuu icloud sio kama lock ulozoea za android ukabonyeza power button na voice up button info zikajifuta. iphone inapitia process ya activation ikiwa simu ina icloud lock. Hata uwe ume update, umeformat simu hii kitu haitoki. Lazima activation ipitie apple servers ndio simu ikubali.

Just for your information, kuna dedicated teams kwa ajili ya kucrack ishu kama izi katika iphone lakini hawana solution. We umepata solution unatoa kwa buku 20?

Solution ilokuwepo ni unlcoking it legally online tena sio cheap ikiwa una latest iphone
 
ni email ambayo inakufanya uweze kushusha program appstore kama ilivyo kwa andros tunaita gmail kWA CMU ZA iphone TUNAITA ICLOUD

Kila utakacho kifanya kwenye cm yangu lazima mimi nipewe notification nin kinafanyika na niweze kuruhusu hapo ndio unaweza fanya huo huongo wako, bila hivyo we uwez fanya lolote
Na icloud ukipiga simu hata apple store hawawezi kupa zaid watakuitia police tuu kama simu sio yako.
Mnaangaika kusaidia wezi mtasubiri sana
Kuanzia iphone 5s had 7 ambazo zinatumia ios 10.2.1 ya sasa hata ukiwa u.ch.i uwezi toa icloud
 
Back
Top Bottom