Ninatafuta kazi

Alfonce Leonard

New Member
Aug 3, 2010
4
0
wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
 
wadau nisaidieni wapi nipatekazi za kilimo baada ya kuhitimu shahada ya kilimo. Ninasoma mwaka wamwisho katika chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (SUA) ninahitimu mwezi agost 2011.
subiri umalize chuo ukishapata cheti ndio utafute kazi kama bado unasoma malizia kwanza hiyo shule sasa kama ukishindwa kumaliza utapataje kazi

Pia kazi sio kwamba zipo tu zinakusubiri wewe kama kazi ikitangazwa watu wanaomba lakini ktk wakati muafaka maana hapa hata tukikuelekeza wapi kuna kazi huwezi kuomba kwa kuwa huna vyeti wewe bado ni mwanafunzi malizia kwanza shule.
 
La msingi kwa sasa ni wewe kumaliza shule kwanza...na sio kumaliza tu...bali kukomaa zaidi ili ushinde kwa kiwango cha kuweza kujitenga na wenzio mkiwa sokoni...pia kama ukiweza kuongezea ujuzi ktk field yako itakuwa vizuri pia...itakuwezesha kujitenga kwa umbali na wenzio pia wakati wa usaili au kutafuta kazi etc..
 
Back
Top Bottom