Ninatafuta E-mail ya Mh E. Lowasa

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Ni muda sasa natafuta kuwasiliana na Mh. Edward Lowasa. Naomba mnisaidie e-mail yake au number ya simu yake ya mkononi. Niko serious, naomba msaada huo.

Ninatafuta mawasiliano naye kwa mambo ya kawaida tu,ikiwa ni pamoja na kujifunza kwake katika yale anayoyaamini na kuyasimamia, nk.

Ili isije ikaleta usumbufu kwake kwa kila mtu kujua mawasiliano yake, kwa kuanikwa humu jamvini basi naomba nitumiwe anwani-pepe yake na simu yake kwa e-mail ifuatayo: eedoh05@excite.com
 


Usimchezee Raisi wa CCM

mc07011464.jpg
 
Back
Top Bottom