Ninani anayepaswa kugharamikia mahusiano ili ya dumu

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari wana Jf.

Kama tunavyo fahamu wanaume tunakuwa busy sana na maswala ya utafutaji kwaajili ya kujenga uchumi na kuwatunza tuwapendao pia ifahamike wazi tukirudi maghetoni / nyumbani unakuta tumechoka sana na wakati mwingine kula au kuoga inakuwa ni kazi sana.

Sasa ndugu kwa vijana/ wanaume tulio na wapenzi wa kike/ wanawake inatuwia ugumu sana wakati mwingine kuwa na simu na kuwatafuta mara kwa mara wapenzi wetu tuwapendao .

Na hii ni kutokana na kuwa busy sana na kazi na kuchoka sana mbaya kabisa unakuta na wewe mwanamke wako ka mute tuu hana habari na wewe kabisa hata kukuuliza kama umekula au kupewa pole na mihangaiko ya siku nzima hakuna

Unalala na kujiamsha mwenyewe bila salamu wala nini kutoka kwa mwanamke wako.

Je, ni nani anapaswa sana kugharamikia mahusiano ili ya dumu zaidi kwa kujitoa kwake na kuweka muda wa kutosha kwa mwezake kwa kuzingatia mahusiano ya sasa hayana afya na wanawake wengi wanadai hamsini kwa hamsini ?
 
Hizo ni dalili za hatari Ukiendekeza roho hiyo kuna siku utakuja kumzuru mpenz wako au kujikondesha broo nenda na nyakati, ukipenda kufanyiwa, anza kufanya wewe, sijui umenielewa kama hujaelewa nikufafanulie kwa kina
 
Hizo ni dalili za hatari Ukiendekeza roho hiyo kuna siku utakuja kumzuru mpenz wako au kujikondesha broo nenda na nyakati, ukipenda kufanyiwa, anza kufanya wewe, sijui umenielewa kama hujaelewa nikufafanulie kwa kina
huyo jamaa mapenzi yasha muathiri sana
 
Usifananishe kutafuta hela na porojo zingine .
Kingine mbona mnatabia ya kulialia ???
Ke hk ke kile ,ingia kwa nyumba ,cheza na wanao wasaidie homework zao ,cheki habari au movie kiasi ,piga mzigo lala kesho amka katafute hela ,maisha ya siku hiz usijiongezee presha
 
Back
Top Bottom