Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Mafunzo gani ya week tatu? Week tatu ndo unatoa pofu kiasi hiki? Huna lolote, nenda wakakutoe sukari.
 
Namwambia afande wangu akupigishe kwata ukitoka huko uko fiti na umenyoka na mkakamavu!na akupe uwanja wa embakasi ulime mikono iwe na malengelenge ila Mwigulu Nchemba usimsahau Ragge kumpeleka huko akajifunze na range siataenda na bastola yake au atazikuta huko??ili 2015 atutishie vizuri!!
 
Last edited by a moderator:
wana jf, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya jkt yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya nchi yangu, vijana wenzangu na chama changu.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie jf.
nenda mayu ukafundwe ........manake unapitilizaga sana !
 
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

This is a perfect approach, zile sifa za mbele ya camera hua zinakubomoa mbele ya vijana wa umri wako na kukupa sifa kwa wapewa vyeo, its upon u to choose the rite boat 2 sail. Goodluck nenda kajifunze uzalendo wa kweli uje utumegee nasi ambao hatuwezi kupata nafasi
 
Ni ishara na hatua nzuri, nchi kama Ugiriki kila kijana lazima aende jeshi. Ukirudi tunategemea utakuwa umebadilika sana!
 
Mkuu mimi nakuomba ukae mbali na wake za watu!

Huko unaenda kuwa karibu na wake za ma-Afande ole wako uki-bugi step men! Utaomba ardhi ipasuke, naamini ma-Afande watakugeuza geuza. Ila hayo yakikukuta usisite kutuletea taarifa!!

Huo mdomo utarudi umebadilika na utakuwa unatoa maneno yenye busara siyo Ma....v tena!!!!
 
Sasa nimeelewa kwanini ulikuwa mtupu mno kwenye hoja.. ulijaa matusi, dharau ujinga nk (rejea mikutano yako ya kampeni Meru na Igunga).. kumbe ulikuwa hujapitia huko kwenye mafunzo ya uzalendo wa nchi hii.... hahahaha
 
Ok sawa I hope umegundua jinsi serikali ya chama chako isivyokuwa makini. Unawezaje kupewa barua inayooshesha siku ya kuingia na wala usiambiwe mafunzo yatakuwa ya muda gani? na wewe mchumi mzima ukapokea barua bila hata ya kuuliza je wewe huoni kama hilo ni tatizo hasa kwa msomi kama wewe?
 
napinga mtanzania yeyote kwenda jkt na much more kwa mbunge! kwa mazingira ya tanzania na ya dunia ya sasa kupeleka watu jkt ni kuchanganyikiwa,ufisadi na zaidi ni kale ka mchezo ka mbuni kuficha kichwa mchangani ukijidai umejificha.tatizo tunalijua wote na sio watu kutokwenda jkt! lakini kwa sababu tumeamua tena kujidanganya kama kawaida yetu basi yatakayotupata na yatupate maana tumejipangia wenyewe kwa ujinga na uoga wetu wa kupinga mambo ya kijingajinga.

mimi nataka kwenda kujifunza jinsi ya kutumia slaha,maana majambazi sasa yamezidi kutuonea watanzania.
 
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

Kwa upande wangu sitegemei mabadiliko kutoka kwa huyu bwana baada ya mafunzo hayo kwa sababu zifuatazo;

Kwanza, muda wa mafunzo ni mfupi sana, wangeniambia ni semina ya ukimwi au masuala mengine ningekubali lakini si mafunzo ya kijeshi;

Pili, sababu kuu tatu alizotoa za yeye kuhudhuria mafunzo hayo mojawapo ni kwa ajili ya CHAMA CHAKE, hivyo tusitegemee kua ataweka mbele maslahi ya Taifa kuliko ya chama chake kama alivyozoea

Tatu, kwa unafiki na uoga wa watanzania hasa watumishi wa serikali/umma, sitegemei kwa wadhifa alionao atapatiwa mafunzo na shurba ambazo kwa kawaida huzipata mtu wa kawaida anapokua kwenye mafunzo ya aina hii, na

Mwisho, ninakubali kukosea na kusahihishwa, kama mafunzo haya yatam'badilisha na kumfanya awe MZALENDO ZAIDI BASI NI VIZURI NA LITAKUA NI JAMBO LA KUPONGEZWA SANA.
 
Wana JF, salam!

Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.

Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

Kwenye jukwaa la Elimu nilikuwekea thread hii, Mayu uwe unapita pita na huko basi using'ang'anie jukwaa la siasa tu hebu jibu na hii huku huku:



Mheshimiwa habari?
Nakusalimu kwa kuwa najua we kupitia JF si haba, mara 5 kwa siku sio mchezo!
Ila napenda kukuuliza kuwa vipi ule mpango wako wa kusaidia vijana wa jimbo lako kitaaluma ukoje? Kuna wakati uliwahi kutamka kuwa utakuwa unachukua vijana kama watano au zaidi kutoka kila shule ya sekondari (hasa zile za kata) na kuwaweka kambini ili uwapatie walimu wazuri wafundishwe at least kila shule jimboni mwako ipate hata division one. Siku zimeenda ingawa sijafuatilia kama ulisimamia matamshi yako kwa vitendo. Na siku unatamka hayo mimi nilikuwepo na ukaitaja shule yako ya kata - Kyengege (ona hapo chini ilivyotoka na form ya 2012) kuwa ingepata kipaumbele kwa sababu inachukua ndugu zako toka shule ya kijijini kwako Makunda. Kilichonishangaza ni hii shule kupata divisions 4 nne tu kati ya watoto 42. Sasa najiuliza huo mpango ulikuwepo kweli ama ulitamka tu maneno ya kuwafariji wapiga kura wako kisiasa? Tunaomba majibu kaka!

CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS​


S2646 KYENGEGE SECONDARY SCHOOL​
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 4 FLD = 38

CNO
SEX​
AGGT​
DIV​
DETAILED SUBJECTS​
S2646/0001​
F​
35​
FLD​
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
S2646/0002​
F​
*E​
*E​
---​
S2646/0003​
F​
34​
FLD​
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
S2646/0004​
F​
35​
FLD​
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
S2646/0005​
F​
35​
FLD​
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
S2646/0006​
F​
35​
FLD​
CIV-F HIST-F GEO-F KISW-F ENGL-F LIT ENG-F PHY-F CHEM-F BIO-F B/MATH-F​
 
JKT,ni mafunzo ya kijeshi maudhui yake ni mtu kumjenga kuwa mzalendo na kupenda nchi na watu wake,na sio mafunzo ya kuipenda CCM,umesema chama chako.ni mafunzo ya kuchukia wizi,dhuruma na ufisadi wa kujilimbikizia mali,kitu ambacho chama chako ndio mjaa wengi sana wa hivyo,kwa hiyo usiseme kwamba mafunzo yatakujenga kukipenda chama chako,na kama ndio hivyo basi JKT.itakuwa haina maana,kwa sababu chama chacho kilishaga poteza uzalendo siku nyingi na sio rafiki wa masikini tena
 
Kila la kheri mkuu..!! Tungependa na ss young proffesionals tushiriki hayo mafunzo lakini kwa muda kama wenu i.e >3wks bt <3months..!! Nadhani we wl learn something though siamini kama uzalendo unafunzwa vizuri huko caz walaji wakubwa wa nchi hii wote wamepita huko..!! All the best..
 
Mbunge huyo anayejidai msomi wa UD. Yaani hujui hata utamaliza lini? Shame on U.

Labda utajifunza huko mhindi wewe wa Mumbai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom