Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

Kipapai ili upeperuke rudi kwa mola wako Waite masheikh wawe wanafanya visomo.Kama ni mkristo waite wachungaji mfanye maombi japo wengi wamekuwa wapiga dili.Usisahau kutembelea vituo vya watoto Yatima kuwapa swadaqa,Duwa ya wale yatima haina kipingamizi kwa muumba wa mbingu na Ardhi.
 
Back
Top Bottom