Ninahitaji BlackBBerry Q10 kwa laki na nusu (Tsh. 150,000/=)

Nebuchadnezzar

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
212
90
Habari zenu wadau. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu.

I am looking forward to hearing from you soon.

Yours sincerely,
Nebuchadnezzar.
 
khaaaa used yenyewe mia nne...jiongeze

Kuna mtu anauza used Z30 kwa 380,000 halafu ninunue used Q10 kwa 400,000 nina kichaa?! Simu used ya 400,000 unaifahamu mkuu? Au wewe wa kishua unaangalia bei za Mlimani City?

Sipendi simu za touch that's why sijawahi kuzitumia, huwa natumia BlackBerry tu!

Nilitoka kwenye 9300 now natumia 9900 naona inaniboa ina sauti moja kubwa sana ukitumiwa zile flash messages za network providers so inaifanya ionekana simu ya kipuuzi. Ukitaka kutumia huduma kama za tigo Pesa ni lazima simu ui-Mute la sivyo kila mtu atakuangalia wewe kwasababu ya kelele zake.

Nina uhakika mtu yeyote anayetumia BlackBerry atakuwa anaitumia just for the sake ya keyboard yake ila BlackBerry is not a smartphone labda kwa hizi Z10, Z30.
 
Sa ndo umeaandika nini hapa??
 
inavyoonekana umevaa heleni masikioni, mwanaume washoka hawezi andika haya.
 
BlackBerry 10 zina flavour sana.. sizani kama kuna mtu anaweza kukuuzia BlackBerry 10 smartphone yoyote kw Hiyo bei hapo juu..

njnaenjoy sana with my z30
 
Nyie watoto wa BRN na GPA bila ya maelezo mengi kuelewa ni vigumu kwahiyo kuelewana ni hadi kwa mifano mingi. Mtu mwenye akili anaweza kueleweshwa kwa sentensi moja akaelewa.

Hebu angalia wewe mwenyewe, hereni unaiita "heleni".
 
BlackBerry 10 zina flavour sana.. sizani kama kuna mtu anaweza kukuuzia BlackBerry 10 smartphone yoyote kw Hiyo bei hapo juu..

njnaenjoy sana with my z30

Kwa Z series wamejitahidi ila kwa hizi nyingine ni bado sana na wangeendelea "kukomaa" nazo wangeweza kuishia pabaya.

Nimepata kwa Tsh. 250,000/=. Baadaye nikiiona na ikawa kwenye good condition kama anavyodai, nitainunua.

Ahsanteni. :coffee: :coffee: :coffee:.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom