Nina wazo la kutunga filamu ya Dr. Slaa vs Lowassa

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Nadhani kwa wanaojua matukio ya kisiasa ya taifa letu wanajua ninachomaanisha yani utungaji huu wa sinema utahusisha moja kwa moja kati ya mapambano ya kuzuia rasilimali za nchi na mwingine akionyesha jinsi gani ya kupita katika maisha magumu ya kisiasa

Note:

Ninajitahidi kuwashirikisha katika midaharo ya moja kwa moja na live watu hawa
pia nitatumia historia zao katika kukamilisha move hii

Wazo
Je nani awe star na nani awe kubwa la maadui?
 
Lowassa huyu mgombea wa chadema 2015 (urais)

Lowasa alishasema mara nyingi hajakutana na Kikwete barabarani,yeye ndiye atakayetumwa na ccm kugombea urais, huku CDM unamsingizia tu!!!!!
 
Keep on dreaming and when you wakeup remember to chase your dream.
 
Mipango ya kuanza kutayarisha sinema yenyewe na mawazo mawazo mengine toka kwenu ndio huu kwani kabla ya 2014 sinema hii inatakiwa tayari imeingia sokoni.... na tunatarajia kuifanya ya kisasa zaidi katika sinema za kisiasa zilizowai kutoka katika taifa letu
 
Back
Top Bottom