Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

mkuu nachelea kusema kwamba umenielewa vibaya, na wala sipo hapa kwa ajili ya kujisifu maana ni upuuzi kujisifu with anonymous id, nani anayenijua hapa jf?? Mkuu wewe hujui lakini mwenzako kila siku najiuliza sababu ni nini, may be hayajakukuta ndo maana unaona nimekuja kujisifu.

naona chalii unajua sana. haya iyo itakuwa gundu tuu umetupiwa na jiran yako pale ulipokuwa unaishi alipoolewa dada yako.(hizo ni taaarifa za kiintelejensia nilizopata soon) tiba yake inabidi unywe supu ya mbwa kutwa mara tatu na ujifunge hirizi kubwa kiunoni wakati wa kujamiiana na huyo utakayempata.
 
Kwa kifupi watafuta msichana humu JF!
Au nimekosea mkuu
Bora hata angekuwa anatafuta msichana tungemsamehe, nilichoona mimi ni kwamba ameamua kujitangaza! Handsome, mil2 mpaka 3 bank inahuu? Ngoja niwasiliane na mods kama vipi alipie hilo tangazo lake!..
 
hakuna hata binti unayeona ana kidalili cha kumind swaga zako? Au unawafungia vioo?

Dah, kuna wawili ila sio type yangu kabisa, mmoja ni mke wa mtu, na mwingine hajaolewa ila ana mtoto. Kwa kifupi kuna gap kubwa kati ya wasichana niliokuwa nao enzi zile na ninaokutana nao this time. Na kazi ninayofanya inanifanya niwe mbali sana na wasichana wazuri wa rika langu.
 
in short sina kawaida ya kutafuta wasichana sehem za namna hii, nimekuja ku-shere hapa mmu nikijua huenda kuna mtu ashawai kutana na ishu kama yangu, what if kama kuna kitu nakosea??
Ngoja nikusaidie, mimi kama mwanamke:
Soma tena thread yako utaona unaweka material mbele na unashangaa mbon hawakupendi wakati mwili umejaza, mkuko umejaza, una elimu, una kazi etc. ila hauja jiuliza maswali muhimu kama:
kwa mtazamo wako, nini role ya mwanaume katika couple, na ya mwanamke? unapenda relationship yako iwe emotinaly oriented ao sexualy oriented? unawatafutia wapi wanawake hao? maybe unawatafuta katika sehemu zisizo, ambapo wengi wanapenda independance yao, wewe unaanza kuwaambia vya ndoa?
Haya sasa, kazi kwako
 
naona chalii unajua sana. Haya iyo itakuwa gundu tuu umetupiwa na jiran yako pale ulipokuwa unaishi alipoolewa dada yako.(hizo ni taaarifa za kiintelejensia nilizopata soon) tiba yake inabidi unywe supu ya mbwa kutwa mara tatu na ujifunge hirizi kubwa kiunoni wakati wa kujamiiana na huyo utakayempata.

duh, yamekuwa haya...
 
anakushauri nini sasa hapo?hamna cha kushauriwa hapo kitakusaidia zaidi ya kupewa pole....
 
hongera sana kwa kuwa kidume maana kuwa na wasichana 7 inaonyesha kiasi gani ulikuwa na nguvu za ziada maana ukiwapanga kila week .... sasa kama ulimanage kuwa nao 7 iweje mmoja akushinde???
 
Dah, kuna wawili ila sio type yangu kabisa, mmoja ni mke wa mtu, na mwingine hajaolewa ila ana mtoto. Kwa kifupi kuna gap kubwa kati ya wasichana niliokuwa nao enzi zile na ninaokutana nao this time. Na kazi ninayofanya inanifanya niwe mbali sana na wasichana wazuri wa rika langu.
Vile ushasema una sifa zote, endelea kusubiri watakutongoza siku sio nyingi...
 
Mimi ameniacha hoi hapo kwenye majisifu yake ya kuwa nahela kama m 2 au 3 hivi benki. Unajua wanawake wazuri huwa hawapendi wanaume wanaojisifia kiumbo, kipesa na mambo mengine? Mpaka hapo usishangae kuona wanaojibu hii kamba yako ni wanaume tu kwa sababu wanawake hawawapendi wanaume mabishororo.

Huo wizi wako ukajisifie maeneo mengine, usije ukatafutwa na kujikuta unaombwa tundu la uchafu bure mkuu.

Ushauri: Hiyo thread ukiipeleka facebook utaipata wako wengi wanaojiunga university wanapenda watu wa aina yako ili waendane na mahitaji yao ya maisha ya chuo mkuu.
 
duh, yamekuwa haya...

yah siumeuliza kama unagundu au la. me nimeingia kwenye mitambo ya babu ndo imenionyesha ivyo kwamba ulitupiwa gundu. usiwe na shaka fuatilia usahuri niliokupa utafanikiwa sana.utaona watakufuata kama zamani walivyokuwa wanakufuata.

tiba ishapatikana mods naomba mfunge hii thread. au nanyi mnazimendea hizo 2 or 3 milion bank
 
kuwa mstaarabu, kama huna la kunisaidia kaa kimya, najua ni dharau imekujaa coz nimesema 2, 3. But to me thats enough. hizo 10,20 ni za kwako, naona umeng'ang'aniiiiiiiiia.
Taratibu bro tusirushiane mate!.. Umekuja jf kujitangaza unash ngapi bank ili iweje?... In short Unasumbuliwa na sifa tena za kijinga....
 
duh! pole sana jamani ila na huku kuna wale wanaandika hutaka wachumba au marafiki kwann msitafutane na kujua fresh pengine mwaweza endana .....................ila pole mnooooooooooooo
 
Dah, kuna wawili ila sio type yangu kabisa, mmoja ni mke wa mtu, na mwingine hajaolewa ila ana mtoto. Kwa kifupi kuna gap kubwa kati ya wasichana niliokuwa nao enzi zile na ninaokutana nao this time. Na kazi ninayofanya inanifanya niwe mbali sana na wasichana wazuri wa rika langu.

muda bado, utampata type yako.
 
Hivi kwa akili yako unangojea mwanamke akufuate ili iweje. Hizo hela zako hakuna anayejua mkuu wala usikae ukiamini hela ndo zitawaleta mademu kwako kama ulivyokuwa huko 'primary school'. Unajua hao mademu wa primary waliokuwa wanakufuata kwao maisha ni hiyo title yako ya a-level kwao ilikuwa ni kigezo. Huku watu wanaangalia kichwa chako kina future yoyote, isije akakaa na wewe akakuta kumbe hata nguo zako za ndani ulikuwa unafuliwa na mama yako, thubutu huwezi kupata demu. Usikute wameshakujua ni mtu wa majivuno, na hili umelionyesha hata kwa sisis wanaume wenzio. Unawezaje kujisifia una umbo zuri mtoto wa kiume.

Sorry, umbo lako zuri kama la Sinta nini au yule demu muigizaji aliyekuwa anachojoa baada ya kukolea ulabu? Peleka huko upuuzi wako wa kujisifia, watu tunataka kuona mambo ya maana, eboooooooooooo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom