Nina sifa na uzoefu wa kazi huu naomba kazi

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
  • Jinsia: Mwanaume
  • Elimu: Degree 1
  • Uzoefu wa kazi: Miaka 5 na miezi kadhaa sekta binafsi
  • Naweza kuja mkoa, wilaya yoyote kufanya kazi
UZOEFU WA KAZI
  • Administration officer
  • records and cashier
  • project officer
KAZI ZIPI NAFANYA KWA UHAKIKA NA UZOEFU
  • Online registration: TRA, BRELA, RITA, TBS, PASSPORT & PERMIT, WORKING & PERMIT etc
  • Business licencing services
  • Huduma ya kupata BARCODE
  • Kuandaa na kuandika COMPANY PROFILE, PROJECT PROFILE, PROJECT PROPOSAL etc
  • Uandishi wa makala za dini, michezo, jamii, siasa.
  • Kuandaa na kuandika ripoti ya vikao, tukio, kazi
  • Kazi za stationaries: mimi nina faida ya kufanya mambo mengi zaidi ambayo ni faida kwa ofisi
  • Naweza kuwa KATIBU wa taasisi au kampuni au shirika au mtu binafsi
  • Administration officer miaka 2 uzoefu
  • Records & cashier uzoefu mwaka 1
MAWASILIANO: 0748628429 & 0629945110
NB: NAKUJA KUFANYA KAZI NA NILICHOANDIKA NDIVYO ILIVYO NAWEZA NA NINA UZOEFU NAVYO, MKOA WOWOTE NAKUJA TUFANYE KAZI, MI NI MUANIFU NAAMINI KATIKA MUNGU.
 
Jaman naomben fursa japo nipate mtaji wa kufungulia ofisi. Nia ninayo, sababu ninazo, uwezo ninao, akili na nguvu ninazo.
 
Back
Top Bottom