Nina sababu Tilioni za kumchagua Magufuli

Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
769
442
Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo

1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa.
2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi hii.
3 .Magufuri ni kiongozi ambaye uadilifu wake hauna mashaka kwa 100%
4.Magufuri ni kiongozi ambaye hajawahi kuomba kuteuliwa na chama chake kugombania uraisi zaidi ya mara moja,hii ina maana ni mtu anaye jiamini na kukubalika na ndio maana alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza tu akateuliwa.
5.Magufuri ni zaidi ya Tinga Tinga na ni zidi ya Raisi.
6.Magufuri ndio kiongozi tunaye muhitaji kwa Tanzania ya sasa.

Mwisho ccm tutashinda kwa kishindo,iwe ni kwa bao la mkono au bao la goti au bao la kisigino hata ikiwezekana kwa kiungo chochote cha mwili wa binadamu TUTASHINDA.

#HapaKaziTu#TeamMagufuri
 
Kumbuka na hili pia
 
Attachments

  • 1441907044789.jpg
    1441907044789.jpg
    69.1 KB · Views: 390

Kajifunze kuandika kwanza. Magufuri ndio nani? Eti sababu tilioni....duuuh
Ndio maana Lowassa kasema elimu muhimu!
 
rAISI WA LIBYA...SADAM Hussein, SADAM ALIKUWA RAISI WA IRAQ...hAYA NDIO MANENO YA MAgUFULI, UTAONA NI JINSI gANI JAMAA ANAJUA KUKARIRI MAMBO BILA KUYAFANYIA UTAFITI...TUKIMChAgUA MTU KAMA hUYU UJUE TUTAKUWA TUMETUMBUKIZWA KWENYE TOPE....hASTAILI KUWA RAISI, ATAKARIRIShWA NOTICE NA WAPIgA MADILI WALIOPO OFISI YA RAISI PASIPO KUFANYIA UTAFITI NA UELEWA WA LK9-IShEIKAY.
Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo

1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa.
2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi hii.
3 .Magufuri ni kiongozi ambaye uadilifu wake hauna mashaka kwa 100%
4.Magufuri ni kiongozi ambaye hajawahi kuomba kuteuliwa na chama chake kugombania uraisi zaidi ya mara moja,hii ina maana ni mtu anaye jiamini na kukubalika na ndio maana alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza tu akateuliwa.
5.Magufuri ni zaidi ya Tinga Tinga na ni zidi ya Raisi.
6.Magufuri ndio kiongozi tunaye muhitaji kwa Tanzania ya sasa.

Mwisho ccm tutashinda kwa kishindo,iwe ni kwa bao la mkono au bao la goti au bao la kisigino hata ikiwezekana kwa kiungo chochote cha mwili wa binadamu TUTASHINDA.

#HapaKaziTu#TeamMagufuri
 
Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo

1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa.
2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi hii.
3 .Magufuri ni kiongozi ambaye uadilifu wake hauna mashaka kwa 100%
4.Magufuri ni kiongozi ambaye hajawahi kuomba kuteuliwa na chama chake kugombania uraisi zaidi ya mara moja,hii ina maana ni mtu anaye jiamini na kukubalika na ndio maana alivyo jitokeza kwa mara ya kwanza tu akateuliwa.
5.Magufuri ni zaidi ya Tinga Tinga na ni zidi ya Raisi.
6.Magufuri ndio kiongozi tunaye muhitaji kwa Tanzania ya sasa.

Mwisho ccm tutashinda kwa kishindo,iwe ni kwa bao la mkono au bao la goti au bao la kisigino hata ikiwezekana kwa kiungo chochote cha mwili wa binadamu TUTASHINDA.

#HapaKaziTu#TeamMagufuri
Kawadanganye mazombie wenzio huko Lumumba watanzania wa leo hawadanganyiki kirahisi namna hiyo. Pole na uzi wako wa kipumbavu
 
Kajifunze kuandika kwanza. Magufuri ndio nani? Eti sababu tilioni....duuuh
Ndio maana Lowassa kasema elimu muhimu!

Ungekuwa hujaelewa usinge comment,by the way hapa hatushindani ufundi wa kuandika insha,hapa tunamuelezea Raisi wa awamu ya tano Mh.John Pombe Magufuli.

#HapaKaziTu
 
Kuonyesha kuwa wewe sio mpumbavu weka sababu 40 na mapungufu yake 3. Ukishindwa kuweka wewe ni MAKU...fuli. Mse...
.ngerema
 
Back
Top Bottom