Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,603
Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa.
Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu.
Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na wale waliobahatika kuonja mvinyo, hawataki kuniacha niende.
Je, kutokuvaa pete ya ndoa ni makosa?