Nina mpango wa kuoa mzungu

I dont understand what do you want from us then! Is this just information or what!
 
Hongera ndugu hao pia wanamapungufu yao. Muulize kama anakaka, I will be happy if you can hook me up!
 
Jitahidi kubadilisha mtazamo, kama kina yes sir wabongo wamekushinda sasa kina equal rights sidhani kama utawaweza. You need an overhaul ya mtazamo wako wa wanawake na nafasi yao kwenye mahusiano.

Pia tabia ni ya mtu binafsi so pamoja na general observation ya hapo juu, bado waweza pata chakaramu au a saint! Good luck!
 
Kaunga, kwani wee ni chakaramu au saint? Na The Great Virgin of all Times anasemaje?

Mie ni saint, ni yes sir tu.
 
Last edited by a moderator:
afu Bishanga, ujue na mie nataka mzungu?

Paka basi karolaiti uweke na kalikiti ili uwe mzungu, sipendi ung'eng'e lakini.

Kuhusu ung'eng'e hebu nenda hata pale forodhani zenji uone wale marasi wanavyoongea ung'eng'e wa kubakia wazungu.

Ung'eng'e unapanda lakini?
 
Last edited by a moderator:
afu Bishanga, ujue na mie nataka mzungu?

Paka basi karolaiti uweke na kalikiti ili uwe mzungu, sipendi ung'eng'e lakini.

Kuhusu ung'eng'e hebu nenda hata pale forodhani zenji uone wale marasi wanavyoongea ung'eng'e wa kubakia wazungu.
Umeamkaje konnie? Ninakumissoo!
 
Last edited by a moderator:
Kaunga, kwani wee ni chakaramu au saint? Na The Great Virgin of all Times anasemaje?

Mie ni saint, ni yes sir tu.

Usually a chakaramu, but ocassionally a saint! He secretly like when l am a chakaramu though he pretent to reprimand me!

Come on Kongosho being a yes sir type, u gotta be joking, labda yes The Boss tu lkn kungine nina mashaka!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, tuko kapu moja.

Hata mie ndio ivo, he likes the chakaramu side though hasemi.

Am yes nobody.

Usually a chakaramu, but ocassionally a saint! He secretly like when l am a chakaramu though he pretent to reprimand me!

Come on Kongosho being a yes sir type, u gotta be joking, labda yes The Boss tu lkn kungine nina mashaka!
 
Last edited by a moderator:
Jitahidi kubadilisha mtazamo, kama kina yes sir wabongo wamekushinda sasa kina equal rights sidhani kama utawaweza. You need an overhaul ya mtazamo wako wa wanawake na nafasi yao kwenye mahusiano.

Pia tabia ni ya mtu binafsi so pamoja na general observation ya hapo juu, bado waweza pata chakaramu au a saint! Good luck!

I see wisdom in your wordp "LIKE"
 
Hongera ndugu hao pia wanamapungufu yao. Muulize kama anakaka, I will be happy if you can hook me up!

hahahah,nita ku hook up kama upo single ondoa shaka.vipi nawe umeona ma sharo hawa wa kibongo hawana ishu nini?ki ukweli hilo ni lengo langu.Nina dada yangu kaolewa na White wanaishi poa kabisa na chotara wao.Hope ur ready to mingle.
 
Hawa masharobaro wamechosha kweli, basi nakuachia tender hiyo mkuu nami nitoe upweke!
 
Back
Top Bottom