spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,392
- 1,897
I beg to differ. Kwa kuitoa ndio atakuwa amekosa hekima na busara. Maisha ya huyo mtoto hayapo hatarini. Mtoto amnyonyeshe na mimba ailee na wala hana haja yakumuachisha mpaka atakapo kataa mwenyewe.Kwa hekima na busara ili kuokoa maisha ya huyo mtoto,nenda katoe,no way through,huyo mtoto bado mdogo sana.Mwenyezi Mungu ndie mjuzi zaidi.
Watu huwa wananyonyesha twins, triplets, quadriplets and so forth bila ya shida yoyote.