zero to hero 199
Member
- Sep 8, 2021
- 56
- 75
Mimi ni kijana wa miaka 26 katika kupambana kwangu katika vibarua tofauti tofauti kwa miaka mitatu leo nimekwenda kuangalia saving account yangu nimekuta kuna shilingi 16M kiukweli sina wazo lolote la biashara mwenye wazo zuri lla biashara naomba anisaidie ili niweze kuwekeza pesa zangu maana naogopa sana kurudi nilikotoka.