Nina Milioni 16, naombeni ushauri

Mimi pia Nina ideal nzuri Sana na nime I practice for five consecative years (nipo kwenye industry main stream in menagarial level)

Mimi Sito deal na pesa ya mtu yeye ata kua anakusanya pesa mwenyewe..

Yaan ukiwa na MA GURU bongo Maisha rahisi Sana Kama ku mpiga mlevi teke..

NB:
Saivi naona haja nitafute partner ili niweze kufanya hizi diversity zangu ngoja nianze fanya Lobbying kwa watu mbalimbali

Namwomba Mungu anikutanishe na watu sahihi..
 
Mkuu tumegee kidogo na sisi
 
siren
 
Kwani wewe lengo la ku save lilikuwa ni uje ufanye nini? Ilibidi uwe tayari una plan unazojua zita cost kiasi gani ndio usave ili uje ufikie malengo yako. Sasa usipokuwa makini utalishwa idea za watu na hiyo hela uliyoi save kwa miaka mi 3 utaipoteza ndani ya miezi mitatu
 
Kama Huna Wazo Endelea ku save PESA yako.

Kama Huna income tena ushafika Mwisho na huna wazo bado, Tafuta Patnership.

Angalia Rafiki/Ndugu au mtu yeyote unaemuamini unaeweza Boresha anachokifanya Mkagawana FAIDA.

Umekosa Wazo ila sidhani kama utashindwa kujua nani wakuungana nae Utengeneze Faida.

Tofautinna Hapo, Bado Uko dilema.

SAVE PESA YAKO hamna ushauri unaoweza ku work out kwako maana hauna experience ya chochote.
 
Mimi ni kijana wa miaka 26 katika kupambana kwangu katika vibarua tofauti tofauti kwa miaka mitatu leo nimekwenda kuangalia saving account yangu nimekuta kuna shilingi 16M kiukweli sina wazo lolote la biashara mwenye wazo zuri lla biashara naomba anisaidie ili niweze kuwekeza pesa zangu maana naogopa sana kurudi nilikotoka.
Usisahau kununua friji na kitanda🤣
 
Back
Top Bottom