Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,317
8,022
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.

Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka nimeona ni hela ndefu sana. Nikaamua kutafuta kiwanja nikapata cha 10mil nimebakia mfukoni na 10 mil.

Kiwanja nakigawa mara mbili kimoja nitajenga appartment na kingine nusu najenga nyumba ya familia yangu. Sasa nahitaji nianze na appartment ambayo ni vyumba viwili kimoja self na jiko na sebule nitapaua tu simple kama darasa.

Ninachoomba mlio na ramani inayomeet requirements zangu mnisaidie muweke hapa nitakayoipenda nitaona namna tunawezeshanakidogo ili unipatie.

Pia naomba usauri namna nitaweza kufanya ujenzi rahisi zaidi.

Plan yangu nitumie msingi wa tofali tu.

Nitatumia bati za kawaida za rangi vyumba vyote ni vidogo 3.5m na sebule 4m jiko3m.

Kama kuna mtu anaweza kunipigia gharama ya hii nyumba utakuwa umenisaidia sana. Nataka nitumia likizo ya sensa kukamilisha project hii maana nimejiegesha kwa jamaa yangu na familia yangu yote.

Kiwanja nlichopata kina 1090sqm
 
10M haitoshi mkuu, fanya ifike 20M.
Msingi(Standand)+ Fundi= 3M
Boma hadi kwenye lenta+ Fundi= 3M.
Hapo bado Mbao+ Bati+Fundi🤣🤣
 
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.

Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka nimeona ni hela ndefu sana. Nikaamua kutafuta kiwanja nikapata cha 10mil nimebakia mfukoni na 10 mil.

Kiwanja nakigawa mara mbili kimoja nitajenga appartment na kingine nusu najenga nyumba ya familia yangu. Sasa nahitaji nianze na appartment ambayo ni vyumba viwili kimoja self na jiko na sebule nitapaua tu simple kama darasa.

Ninachoomba mlio na ramani inayomeet requirements zangu mnisaidie muweke hapa nitakayoipenda nitaona namna tunawezeshanakidogo ili unipatie.

Pia naomba usauri namna nitaweza kufanya ujenzi rahisi zaidi.

Plan yangu nitumie msingi wa tofali tu.

Nitatumia bati za kawaida za rangi vyumba vyote ni vidogo 3.5m na sebule 4m jiko3m.

Kama kuna mtu anaweza kunipigia gharama ya hii nyumba utakuwa umenisaidia sana. Nataka nitumia likizo ya sensa kukamilisha project hii maana nimejiegesha kwa jamaa yangu na familia yangu yote.

Kiwanja nlichopata kina 1090sqm
Mkuu, kwanza kujiegesha kwa rafiki yako na familia yako yote huoni kama unaleta usumbufu na mzigo kwa huyo jamaa!!ungeiacha kwanza Familia huko ulikotoka, kisha ungepambana Mwanza ndani ya miezi 3 unakuwa ume-settle unaivuta Familia
 
Hiyo ndio ilikuwa easy option na the only one best
 
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza.

Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka nimeona ni hela ndefu sana. Nikaamua kutafuta kiwanja nikapata cha 10mil nimebakia mfukoni na 10 mil.

Kiwanja nakigawa mara mbili kimoja nitajenga appartment na kingine nusu najenga nyumba ya familia yangu. Sasa nahitaji nianze na appartment ambayo ni vyumba viwili kimoja self na jiko na sebule nitapaua tu simple kama darasa.

Ninachoomba mlio na ramani inayomeet requirements zangu mnisaidie muweke hapa nitakayoipenda nitaona namna tunawezeshanakidogo ili unipatie.

Pia naomba usauri namna nitaweza kufanya ujenzi rahisi zaidi.

Plan yangu nitumie msingi wa tofali tu.

Nitatumia bati za kawaida za rangi vyumba vyote ni vidogo 3.5m na sebule 4m jiko3m.

Kama kuna mtu anaweza kunipigia gharama ya hii nyumba utakuwa umenisaidia sana. Nataka nitumia likizo ya sensa kukamilisha project hii maana nimejiegesha kwa jamaa yangu na familia yangu yote.

Kiwanja nlichopata kina 1090sqm
Ramani utapata ukiitaji mpaka BOQ nicheki tufanye kazi
 
Raman hii hapa
Screenshot_20220802-215332_PDF%20Reader.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom