Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

mimi nimeona nikiwa na miaka 30 na sikuwahi fanya sex b4 marriage, mungu akanipa mke aliyekuwa bikira sasa ni raha kwenda mbele, tulia kijana huko poa
 
mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?

Kijana ukitia mguu tu wanakula zote mbili.... unamiaka tisa mbela yako ya kuja kuanza mahusiano na tena ukianza anza kwa step, maana ukivamia nao watakuvamia mwisho wa siku inakula kwako..
 
watu wamefika miaka 25 huko na bikira zaon they r doing fine. sembuse 21,
 
mm n mwanaume wa miaka 21 cjawahi kufanya mapenzi je itaniletea matatizo ntakapooa?

Je ukiamka usingizini asubuhi unakuwa umedinda? kama ndio then wewe ni mzima.

Kuwa makini kuna uvumi kuwa zikikaa sana ndani bila kutoka huwa zinahamia nyuma.
 
Endelea kujitunza hakuna tatizo lolote, ila utakapooa jitunze na mkeo usije ukajiona ulichelewa na kufungulia zipu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom