Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

Hakuna theory yeyote inayoapply hapa, endelea kujitunza na wewe utabarikiwa, Mungu sii adhumani, atakujaalia mke aliyejitunza kama wewe. Mimi nilianza na miaka 30, mapenzi mazuri ni yale ambayo kila siku mnakuwa na mbinu mpya, ukiingia ukiwa unafahamu kila kitu lazima usumbuke. Kwa hiyo mtu asikutishe dogo angu.
 
Me mbona nimetolewa bikra at 23 nikiwa chuo mwaka wa mwsho..na nilikua sista duu ..hehe usiseme hawapo mtaani...
 
Mwangalie kwanza unavyowapotosha wenzio!!!!!!hiyo theory ya wapi????proove it.
Kuna theory ya use and missuse kwamba..kila kisichotumika with time aidha kinapungua size au kinpotea kabisa........
 
Subiri mwaya haiozi hiyo,tena unajiongezea umri wakuisi sababu hakuna mapenzi wala ku cheat.tuliza babu ally kwanza..
 
ila nahic ntakua mshamba wa penz mbele ya mke wangu kaka

Usihofu bwana mdogo kama unasoma kazana na kama unatafuta pesa kaza buti na vumilia mpaka utakapooa tena utakaempata mkapime HIV kwanza kwani dunia ya sasa ni hatari sababu kuna wadudu wengi.Hauwezi kuwa mshamba hata kidogo wakati kuna utandawazi ingia kwenye internet soma jinsi ya kumfikisha mke kileleni, pia kuna vitabu vya tendo la ndoa vinaelekeza jinsi ya kumfikisha mke kileleni hakika kama utaelewa vizuri utakuwa mtaalamu.Mimi nilioa nikiwa na miaka 29 na nilikuwa sijawahi kufanya lakini mke wangu nikimkamata anapata burudani zaidi na anafika kileleni barabara kabisa.Hakikisha unajifunza jinsi ya kumpa mke clitoris orgasm, multiple orgasm, G-spot orgasm and squirting orgasm hakika hatakuona mshamba na atakuona wewe ndiye mume shujaa kuliko wanaume wengine wote hata kama walishamuondoa bikira na vyote hivyo vifanye baada ya kumuandaa vizuri.
 
Me mbona nimetolewa bikra at 23 nikiwa chuo mwaka wa mwsho..na nilikua sista duu ..hehe usiseme hawapo mtaani...

Je aliyekutoa ndiye aliyekuoa? Kama siye wewe ni mzinzi na ulifaa kupigwa mawe enzi za kina Musa.Hiyo kitu ni special kwa mume na si vinginevyo tatizo munakuwa mapepe mno na matokeo yake munaolewa huku hamna na ndiyo maana munasalitiwa, Utabisha lakini kama utaolewa na bikira ungekuwa mwanzo wa kiapo kwa mumeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom