Nina mba, natafuta kazi

SJUMAA26

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
607
167
Hi Members of JF.

I am looking for a job. Here under is my qualifications in summary:-
  1. Have recently completed Masters of Business Administration from the University of Dar es Salaam (First Year MBA Results show a GPA of 4.5)
  2. I am a Certified Public Accountant since May, 2008
  3. I hold a Bachelor Degree in Commerce majoring in Accounting (BCom) from the University of Dar es Salaam, with an overall GPA of 4.3
  4. I have undergone various courses and and job-related trainings

My work experience, in summary, is as follows:-

  1. Worked as an Audit Assistant at Deloitte & Touche
  2. Worked as a Financial Accountant with Mwananchi Communications Ltd
  3. Worked as a Trainer in various professional training centres
 
Ulikimbizwa na nini uko ulikotoka? Unategemea nn kuwa na elimu kubwa alafu hauna kazi? pole zako
 
Duh!kama CPA holder hana kazi,hao wenye bachelor tu itakuaje?
 
Duh!huyu jamaa amesoma lakini kwa bahati mbaya hajaelimika,hivi unadhani wana JF ndiyo watakaokusaidia kupata kazi?hizo kazi za kwanza ulizipataje?kwa nini usitumie huohuo utaratibu uliotumia mara ya kwanza kupata kazi badala ya kuja kujianika hapa na hizo GPA zako!
 
Kweli Jamii Forum ina wapuuzi wengi, mojawapo huyu!
Hivi unadhani watu wa Ikulu hawamo kwenye JF? Au unafikiria kwa kutumia ******?

Jenga hoja mkuu,acha kutukana watu!Inawezekana kwa mjadala uliouanzisha tukaambulia matusi zaidi hekima ambayo tungetarajia kupata kutoka kwako!
 
hivi kwa elimu uliyo nayo kwa nini usitengeneze kazi we vipi au kilaza? sikuelewi kabisa
 
Katafute kitabu kinaitwa rich dad poor dad au google pdf yake kitakusaidia...tafutata jembe ulime alizeti au bustani kama vitunguu uuze upate mtaji ujiajiri mkuu..
 
Hi Members of JF.

I am looking for a job. Here under is my qualifications in summary:-
  1. Have recently completed Masters of Business Administration from the University of Dar es Salaam (First Year MBA Results show a GPA of 4.5)
  2. I am a Certified Public Accountant since May, 2008
  3. I hold a Bachelor Degree in Commerce majoring in Accounting (BCom) from the University of Dar es Salaam, with an overall GPA of 4.3
  4. I have undergone various courses and and job-related trainings

My work experience, in summary, is as follows:-

  1. Worked as an Audit Assistant at Deloitte & Touche
  2. Worked as a Financial Accountant with Mwananchi Communications Ltd
  3. Worked as a Trainer in various professional training centres

with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment
 
Kweli Jamii Forum ina wapuuzi wengi, mojawapo huyu!
Hivi unadhani watu wa Ikulu hawamo kwenye JF? Au unafikiria kwa kutumia ******?

wewe ndio mpumbavu zaidi kwa elimu yako hio unaanndika utumbo , kwani ungenijibu kwa hekima ama kunipotezea nani angakufa?
 
[/COLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment

I am real puzzled how did he/she manage to obtain those qualifications with such kind of broken english!
 
wewe ndio mpumbavu zaidi kwa elimu yako hio unaanndika utumbo , kwani ungenijibu kwa hekima ama kunipotezea nani angakufa?
Mkuu ulitegemea nini zaidi ya kuambulia matusi?kumbuka vyote ving'aavyo si dhahabu!
 
[/COLOR]with this type of broken english its difficult. my advice rewrite your cv in good correct way by using gramatically consistence centences.shape both speaking and writing english. try to go through news papers on daily bases and try to apply accordingly.
nafikiri sasa hili limekuwa ni tatizo la graduates wengi. English is a problem and it may be among the factors which hinders you from getting employment

Nani kakwambia kingereza ni dili?, nchi ngapia Duniani wanatumia lugha zao na wako mbali? Acheni kutudanyanya, with my swahili i can still be the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom