TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
Nani kakwambia kingereza ni dili?, nchi ngapia Duniani wanatumia lugha zao na wako mbali? Acheni kutudanyanya, with my swahili i can still be the best
Unachokisema ni kweli kabisa,lakini umesahau kitu kimoja ambacho ni muhimu sana,huyu jamaa amekuwa trained kwa lugha ya kiingereza na kikubwa zaidi amepata alama za juu sana tena kutoka kwenye chuo kinachoaminika na bodi inayoaminika!vipi aandike kingereza cha chini kiasi hicho?hili ndilo linalowashangaza wengi mkuu!