Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

Kuweza KUONGEA vizuri,kwa ufasaha au kwa usahihi lugha ya taifa fulani sio ndio UTAIFA WAKO!!!
Kuna Mambo mengi yanayoweza kukufanya ukaongea vema kabisa lugha ya Taifa jingine kwa kukulia huko au kunifunza kwa usahihi
BALOZI WA CANADA NCHINI CHINA ANAONGEA KIMANDARIN KWA LAFUDHI YA KICHINA KABISA , NA YEYE NI RAIA WA CHINA?
 
Alikuwa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.

Hahaha wabongo siwawezi kwa chai... Eti "anakuja na documents"
 
Usichojua wewe ni kwamba Joseph Kabila aliishi na kusoma Tanzania pale Mtongani Kunduchi, na baadaye alijiunga na Jeshi la kujenga taifa kambi ya Makutupora Dodoma akiwa na mgombea urais wa sasa kupitia chama chake Ramadhan Shadali.
PHOTO_COLLAGE1546374452349-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni wakuu

Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu

Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)

Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini


Mmmmh,kwa kweli kiswahili chake ni Cha kibongoooo kabisaaaa.Rafudhi ya mtu asiye mbongooo Kama Mkenya,Mgandaaa na hata mtu yeyote ambaye si mbogo ni rahisi kumgundua ila jamaa huyu huwezi kusema si mbongooo
 
Mmmmh,kwa kweli kiswahili chake ni Cha kibongoooo kabisaaaa.Rafudhi ya mtu asiye mbongooo Kama Mkenya,Mgandaaa na hata mtu yeyote ambaye si mbogo ni rahisi kumgundua ila jamaa huyu huwezi kusema si mbongooo


Umeona eeeh

Halafu kuna watu wamenibishia humu humu kwenye huu uzi
 
Kwa hiyo na akili yako umemwamini huyo na uongo wa kiwango cha lami huo? Hebu muulize miji inayopakana na dalisalaam ilibadirishwa na kuwa Jerusalem,hiyo miji ikabadirishwa ikaitwaje? Kwa sbb haitowezekana wakawa wanafika tu dalisalaam bila miji mingine ya jirani. Kwa hiyo tuite mtwara ndio garilaya,tanga ni ipi? Na mingine je?

Sent using Jamii Forums mobile app
He passed away 10 years ago. Kwa references alizonipa alikua sahihi.
 
kila kitu kina madhara yake km si kwako kwa mwenzako,km si kwa taifa lako basi kwa la mwenzakoi,inawezekana unaowazungumzia wengine hawajastafu.....
Hiyo ya mpaka wajeda wa enzi hizo wakawa alerted jinsi ya kuishi nae huyo jamaa kuna mpango mkubwa sana tu unaohusisha wakubwa wa nchi inavyoonekana
 
Back
Top Bottom