BALOZI WA CANADA NCHINI CHINA ANAONGEA KIMANDARIN KWA LAFUDHI YA KICHINA KABISA , NA YEYE NI RAIA WA CHINA?Kuweza KUONGEA vizuri,kwa ufasaha au kwa usahihi lugha ya taifa fulani sio ndio UTAIFA WAKO!!!
Kuna Mambo mengi yanayoweza kukufanya ukaongea vema kabisa lugha ya Taifa jingine kwa kukulia huko au kunifunza kwa usahihi
Ndo atujibu mleta madaBALOZI WA CANADA NCHINI CHINA ANAONGEA KIMANDARIN KWA LAFUDHI YA KICHINA KABISA , NA YEYE NI RAIA WA CHINA?
Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini
Alikuwa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.
baba yake inaweza kuwa ni Kanambe Nyamwasa wa Rwanda pale nanihii
Hata Mgambo JKT vile vile alishapita paleUsichojua wewe ni kwamba Joseph Kabila aliishi na kusoma Tanzania pale Mtongani Kunduchi, na baadaye alijiunga na Jeshi la kujenga taifa kambi ya Makutupora Dodoma akiwa na mgombea urais wa sasa kupitia chama chake Ramadhan Shadali.View attachment 983799
Sent using Jamii Forums mobile app
unajuaje kama hana faida kwetu ujua ni shehena ngapi za mizigo zinaingia congo kupitia hapa kwetu na tunavuna mabillioni mangapi unajua ni investment ngapi huyo kabila kaweka hapa kwetu?Hata kama ni mtanzania aliyepandikizwa, bado hajawa na faida kwetu
Wanasiasa au madikteta?Wanasiasa bwana, yaani uso wake wa upoleee, akiongea ndio wamuonea huruma zaidi kwa namna anavyoongea kwa upole.... Ingia kwenye anga zake sasa!
Habari za jioni wakuu
Straight to the topic ni kwamba naapa sikuwahi kumsikiliza kabla rais huyu maishani mwangu ila hamad! nimemsikiliza jioni hii akifanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC Swahili yaani wakati ninamsikiliza akili yangu inakataa kuwa huyu rais wa DRC kuwa ni mkongomani bali ni mtanzania mwenzetu
Ninao uwezo wa kumtambua mswahili asie Raia wa nchi yetu yaani Mkenya au Mrundi au Mnyarwanda kwa kuongea kwake kiswahili (Lafudhi yake inanihabarisha)
Ninaconclude kwa kusema huyu Joseph Kabila ni mtanzania pure na wanaonibishia angalieni mahojiano haya hapa chini
Mmmmh,kwa kweli kiswahili chake ni Cha kibongoooo kabisaaaa.Rafudhi ya mtu asiye mbongooo Kama Mkenya,Mgandaaa na hata mtu yeyote ambaye si mbogo ni rahisi kumgundua ila jamaa huyu huwezi kusema si mbongooo
He passed away 10 years ago. Kwa references alizonipa alikua sahihi.Kwa hiyo na akili yako umemwamini huyo na uongo wa kiwango cha lami huo? Hebu muulize miji inayopakana na dalisalaam ilibadirishwa na kuwa Jerusalem,hiyo miji ikabadirishwa ikaitwaje? Kwa sbb haitowezekana wakawa wanafika tu dalisalaam bila miji mingine ya jirani. Kwa hiyo tuite mtwara ndio garilaya,tanga ni ipi? Na mingine je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutushirikisha hizo references kama unazo bado?He passed away 10 years ago. Kwa references alizonipa alikua sahihi.
Hiyo ya mpaka wajeda wa enzi hizo wakawa alerted jinsi ya kuishi nae huyo jamaa kuna mpango mkubwa sana tu unaohusisha wakubwa wa nchi inavyoonekana
aiseee! kingsman the secret service
waonee wenzako huruma kuhusu kikokotoo.....Alikuwa Jeshini wakati ule watu wanapita Jkt kwa mujibu wa sheria pale mgambo Jkt na bro wangu. Nasikia alikuwa anapotea tu wiki, akirudi anakuja na documents analala nazo hagusi mtuu na alikuwa hasumbuliwi na maafande.
Hapana siwezi; tehe na wala hii sio inteligensia ni mistari ya Bible tu.Unaweza kutushirikisha hizo references kama unazo bado?