Nina mashaka na utaratibu wa usimamizi wa kura wa NEC

Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,712
1,906
Wadau hasubuhi ya leo nilisikiliza kipindi cha mahojiano na Redio One TBC kuhusu uchaguzi Arumeru!!! Nikamsikia msimamizi wa uchaguzi wa tume akisema kwamba baada ya kupiga kura vituoni KURA ZITAPELEKWA MAKAO MAKUU YA HALIMASHAURI KUHESABIWA!!!! Sasa wadau mashaka yangu yananzia hapo, hivi ni kweli alivyosema huyu mkubwa, je ni kwa nini kura zisihesabiwe vituoni na kupata matokeo badala ya kukusanywa kwenye center moja???????

Mbona Tanzania tunangangania mfumo wa zamani wa uchaguzi, kuna taabu gani kuhesabu kura na kubandika matokeo kwenye vituo ili watu wajue matokeo ya kura zao?????? Je hiyo haiwezi kuwa ni njia ya kuiba na kuweka kura za bandia??? Labda sikumuelewa vizuri huyu msimamizi??? Naomba kueleweshwa jamani!!!!!

Wewe ndio una mawazo yakizamani yakutaka kufanya mambo kinyume na taratibu !
 
Kwa upeo wangu, kura lazima zihesabiwe vituoni na zibandikwe.Hiyo ya kuhesabu kwenye pool moja siyo sahii..Labda ni utaratibu mpya wa NEC kwa shinikizo la CCM.Ila ngoja tupate updates za NEC...
 
Tunaomba watu wa NEC watujibu tafadhari labda mimi sikumuelewa vizuri huyo msimamizi?????

Back
Top Bottom