Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

kamati

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
240
109
Ndugu mimi binafsi ni miongoni mwa waombaji ila kun mtu mmoja anaitwa BENEDICTO MASHAKA ZUMBA list no 47 yeye anadaiwa amesoma mbeya universty coz ya psychology ila cha kushangaza cozi hyo haipo na hata katika list of graduands hayupo check www.must.ac.tz list of graduands hayupo wala coz hyo haipo na chuon hatambuliki kwani mimi nimegraduate hapo kwa hyo tunaenda wapi ila jina limetoka na ameonekana kasoma must psychology coz za mbeya university ni archtecture, BBA, CIVIL, COMPUTER science electrical and mechanical na hata kwa diploma ni hizo hizo
 
  • Thanks
Reactions: Gor

kwani kama alimaliza kabla yako je
 
Hakuna psychology must wala haikuwahi kuwapo na shart la pili jeshi la polisi waliandika mwisho wa form only finalist year 2014/2015
 
Huenda typing error! duu lakin c unaijua serikal yetu hi mi mwenyewe nimekosa afu nina vgezo vyote miaka sawa, urefu, elimu, ndo hapo 2jiulize vgezo gan uangaliwa .... vgezo vya undugu? ukabila? upesa? upolice mwenzangu? ukanda flan? uccm na uchadema kwa vile tulitweka picha zetu....
 
349 anaitwa David Nyamuhanga Gimonge, kamaliza IFM procurement, mm nimemaliza ifm, na hii fuculty haipooo! Jamani hivi kwani kila kitu lazima tuweke ufisadii! Hii serikali inataka ituambie nn!?? Hii faculty haipo IFM!
 
We ni knoma umefwatilia majina lain by lain, mi nlivoona langu halipo nkasema Ahsante Mungu nakusepa kimyakimyaTANZANIA RUSHWA HAISH KWA NAMNA HII, MI MWENYEWE NIMEMSHUDIA BINT MMOJA ....Nj kukosea ni ngumu walikua na mda wakutosha
 
Unanikumbukusha miaka ya 2000 kuna kijana aliweka kamaliza form 4 katika shule niliyosoma mimi. Jina lake lilikuwepo sambamba na sisi wakati hakukuwa na mtu wa namna katika shule yetu. Yule jamaa aliwekewa division two.
 
We ni knoma umefwatilia majina lain by lain, mi nlivoona langu halipo nkasema Ahsante Mungu nakusepa kimyakimyaTANZANIA RUSHWA HAISH KWA NAMNA HII, MI MWENYEWE NIMEMSHUDIA BINT MMOJA ....Nj kukosea ni ngumu walikua na mda wakutosha

et kuna majina mengine bado yanakuja.....ni kweliii?
 
hi ni uhamiaji part two kuna watu washaandaliwa ila tumetimiza wajibu hakuna kazi ya bure
 
Nchi imeshauzwa hii jamani, naskia na ndugu zetu wamasai wamepewa notice eti wahame wapishe royal family wakawinde. Jamani tunaelekea wapi?
 
Back
Top Bottom