Nina laki 5 kamili: Nahitaji simu genuine, Second hand, isiwe na matatizo yoyote

Taylor Gang Jr

Senior Member
Jul 2, 2013
131
7
Habari wakuu...nina tsh laki 5 kamili,nipo dar es salaam
Nahitaji cmu original...clone ssihitaji
Isiwe na matatizo yoyote
Nina laki 5 kamili...
#sihitaji tecno,itel,huawei
Ni PM au nichek kwa namba,0714609907
 
Mkuu
nenda madukani hasa yanayoamini unapata simu nzuri uipendayo ikiwezekana na chenji inarudi
 
habari wakuu...nina tsh laki 5 kamili,nipo dar es salaam
nahitaji cmu original...clone ssihitaji
isiwe na matatizo yoyote
nina laki 5 kamili...
#sihitaji tecno,itel,huawei
ni pm au nichek kwa namba,0714609907



nina nokia lumia 625......itakufaa???ina miezi miwili tu,,,ndo hii natumia,,,,ukiwa okay nucheki kwa namba hii....0713#382802
 
Nenda dukan utapata simu mpya kama sony xperia z 400k, s4 au s5 , utapa samsung note unayotaka.

Kama unapenda used poa.
 
Uyo walas ba mbabaishaji...ata s4 brand new dukani hupati kwa laki 5....ivi anaijua simu genuine kweli huyo?
 
Back
Top Bottom