Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Kama una sura ya kike kabla hujajiita una jinsia mbili
wasiliana kwanza na daktari kwani kuna wanawake wana kuwa na clitoris kubwa au ndefu
mfano wa naniliu ya kiume. Hivyo unaweza kukuta na wewe ni mmoja wao.
Lakini kama daktari atathibitisha kwamba uko hivyo yaani jinsia mbili,
basi uwe mvumilivu utampata mwanaume mwenye jinsia mbili,
maana duniani wawili wawili. Ili mkiishi kama mme na mke hakuna atakayegundua
maana mmoja atakuwa na sura ya kike na mwingine ya kiume,mengine itakuwa siri yenu ya ndani.
 
Ungeenda mwaya kufanyiwa operation inawezekana kabisa unaondolewa ya kiume inabaki ya kike unakua mschana kamili
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom