Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Muanzisha mada ni muongo. Na kama ni mkweli basi atakuwa ni binadamu wa kwanza ambaye uke na uume vyote kufanya kazi kwa pamoja. Hii inawezekana kwa viumbe wengine tu tofauti na binadamu. Binadamu wenye sehemu mbili za uzazi wanakuwa na sehemu moja tu inafanya kazi na mara nyingi ni ya kike. Sehemu ya kiume inakuwa ndogo sana eneo la clitoris na haifanyi kazi kwa hiyo ni sawa tu na mwanamke mwenye clitoris kubwa isipokuwa ya hermaprodite inakuwa na umbile la kiume. Na kuna wengine umbile la pili linakuwa ndani kwa ndani halijitokezi nje. Mf. Unaweza kuwa na uume lakini una ovaries au na umbile la kike lakini una testicles ambazo hazijajitokeza nje kama issue ya Semenya.

I stand to be corrected.
 
Namfahamu kijana mmoja ambaye tulipokuwa tukienda kijijini tulijua ni wa kike ila alikuwa na nguvu kama mwanaume hata umbile lake lilikuwa la kiume. Alikuwa hivyo hivyo akasoma kama msichana na kila kitu.

Mwaka 2012 nilienda tena kijijini nikaambiwa ameoa. nikaenda kuongea naye akanieleza yeye alikuwa na zote mbili. uke ulikuwa kwa juu na uume na korodani zilikuwepo pia lakini hajui kwa nini wazazi wake walimtreat kama wa kike maana uume wake ndo uliokuwa na nguvu.

Alienda kufanyiwa upasuaji? hospitali ya Mawezi (kama kumbukumbu zangu ziko sahihi) na yuko vizuri tu!
 
Muanzisha mada ni muongo. Na kama ni mkweli basi atakuwa ni binadamu wa kwanza ambaye uke na uume vyote kufanya kazi kwa pamoja. Hii inawezekana kwa viumbe wengine tu tofauti na binadamu. Binadamu wenye sehemu mbili za uzazi wanakuwa na sehemu moja tu inafanya kazi na mara nyingi ni ya kike. Sehemu ya kiume inakuwa ndogo sana eneo la clitoris na haifanyi kazi kwa hiyo ni sawa tu na mwanamke mwenye clitoris kubwa isipokuwa ya hermaprodite inakuwa na umbile la kiume. Na kuna wengine umbile la pili linakuwa ndani kwa ndani halijitokezi nje. Mf. Unaweza kuwa na uume lakini una ovaries au na umbile la kike lakini una testicles ambazo hazijajitokeza nje kama issue ya Semenya.

I stand to be corrected.
Ikiwa unajua aitha wewe au mwingne yoyote yule,ni ipi sababu ya msingi hasa ya kitaalamu/kisayansi inayopelekea mtu kuzaliwa na jinsia mbili? Na zote kufanya kazi? Au moja?,what is going wrong?,na tatizo hili linaweza kuwa la kurithi kutoka kizazi kimoja kwenda kingine?
Whats the causal factor behind it?
 
Mkuu hayo ni mambo ya kitaalam sana. Mimi naweza sema tu ni mkanganyiko wa homoni za maumbile. Ukitaka kupata zaidi google "hermaphrodite people."
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom