Nina Hofu Kuu juu ya maonesho ya silaha za kivita

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Kama tumeanzisha maonesho ya kivita kama maonesho ya viazibna mihogo siku ya wakulima Nane Nane inatia shaka sana.

Tumekuwa tukiambiwa mambo ua jeshi ni siri leo hadharani.Tunajiamini kiasi gani?

Wengine watadema oohh ni kawaida au watasema zinaoneshshwa zile ndogo ndogo?

Je ktk vita kuna silaha ndogo.Rwanda mwaka 1994 walipigana kwa sehemu kubwa kwa kuia mapanga na watu takrinani 800000 (watusi walikufa) na wajutu 200000(wahutu) walikufa.

Je kwa mfano huo vita ina silaha ndogo au kubwa ktk mantiki ya Timing ya kanuni za vita? Au nani hasa analengwavktk maonesho haya?
 
Afadhari umesema manake huwa najiulizaga kuonyesha vifaa vya vita tena kwa majirani zetu si ndo watachukua madhaifu yetu!!!!

Jamani jeshi ni siri...sijawahi ona marekani wakionyesha jeshi lao
 
nadhan unasahau rwanda ile haikua vita bali ni mauaji ya hapaiki[/QUOTET

Tafuta tofauti ya Vita na halaiki! Halaiki maana yake ni mauaji ya watu wengi kwa muda mfupi like massacre,vita ni uhasama baina ya taifa au jamii unaopelekea watu kuuana.Rwanda ilifanyika vita ya genocide yaaani mauaji ya wengi kwa muda mfupi.
 
mbona unakisema kilekile nilichosema.hiyo genocide sio vita ni mauaji kama yale ya walemavu wa ngozi
 
Wewe haujawaelewa,yale yako kisiasa zaidi,yaani ni tishia 'ukawa'.

Wanaweza wakawa wanafikiri wanatishia ukawa badae ikawa serious ndo watajuta na vita haina macho na nchi za magharibi zikianza kutoa silaha sasa wao wayishie wafikiri kubaki madarakani ianze mambo ya Libya hapa waache utani kwa kutishia upinzani
 
mbona unakisema kilekile nilichosema.hiyo genocide sio vita ni mauaji kama yale ya walemavu wa ngozi

Ni tofauti na mauaji ya albuno.wao mshindi aliingia ikulu.ile ni vita ka vta nyingine.
 
Kama tumeanzisha maonesho ya kivita kama maonesho ya viazibna mihogo siku ya wakulima Nane Nane inatia shaka sana.

Tumekuwa tukiambiwa mambo ua jeshi ni siri leo hadharani.Tunajiamini kiasi gani?

Wengine watadema oohh ni kawaida au watasema zinaoneshshwa zile ndogo ndogo?

Je ktk vita kuna silaha ndogo.Rwanda mwaka 1994 walipigana kwa sehemu kubwa kwa kuia mapanga na watu takrinani 800000 (watusi walikufa) na wajutu 200000(wahutu) walikufa.

Je kwa mfano huo vita ina silaha ndogo au kubwa ktk mantiki ya Timing ya kanuni za vita? Au nani hasa analengwavktk maonesho haya?

Maelezo yako ni mazuri sana mkuu lakin imenichukua muda sana kuyaelewa kwa jinsi ulivyochanganyachanganya, hadi macho yameuma
 
"Onyo kwa wote mnaodai serikali tatu"

Au umesahau msemo wao kuwa serikali tatu zitafanya jeshi lichukue nchi!?
 
Afadhari umesema manake huwa najiulizaga kuonyesha vifaa vya vita tena kwa majirani zetu si ndo watachukua madhaifu yetu!!!!

Jamani jeshi ni siri...sijawahi ona marekani wakionyesha jeshi lao
Una uhakika kuwa marekani huwa haioneshi jeshi lake?
 
Kama tumeanzisha maonesho ya kivita kama maonesho ya viazibna mihogo siku ya wakulima Nane Nane inatia shaka sana.

Tumekuwa tukiambiwa mambo ua jeshi ni siri leo hadharani.Tunajiamini kiasi gani?

Wengine watadema oohh ni kawaida au watasema zinaoneshshwa zile ndogo ndogo?

Je ktk vita kuna silaha ndogo.Rwanda mwaka 1994 walipigana kwa sehemu kubwa kwa kuia mapanga na watu takrinani 800000 (watusi walikufa) na wajutu 200000(wahutu) walikufa.

Je kwa mfano huo vita ina silaha ndogo au kubwa ktk mantiki ya Timing ya kanuni za vita? Au nani hasa analengwavktk maonesho haya?

nani kasema tunaonyesha ndogo? wakati siku ya muungano tulionyesha zile za dunia ya kwanza, km vifaru vinaovyotembe juu ya maji km nchi kavu, vingine vinauwezo wa kuendeshwa usiku hata bila taa lkn vinaona. na nk. lkn wanasema siku hizi hata uzifiche wapi watazijua tu, km huamini nenda CIA FACTBOOK
 
Wale Wakristo wa kweli tu, naomba mnisaidie (Wakristo wa dini na wengine hapana). Kwa imani yangu naamini huu ndio mwisho wa utawala wa serikali ya ccm. Nafikiria kwamba Mungu ameruhusu mambo kama haya ili iwe njia ya anguko la ccm sawa na alivyotabiri Kakobe.

Dhambi ya kiburi na kukataa kuonywa siku zote iliangusha falme. Haya mambo ya Kikwete na serikli yake, yanatofauti gani na aliyoyafanya Mfalme Belshazzar Daniel 5 na Nebuchadnezzar Daniel 4?
 
Maelezo yako ni mazuri sana mkuu lakin imenichukua muda sana kuyaelewa kwa jinsi ulivyochanganyachanganya, hadi macho yameuma

Mi nilikuwa najua ni PDIDY kumbe mwingine mwenye kilema cha PDidy kaibuka
 
Back
Top Bottom