Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,917
Hebu semeni wapi kuna nyama choma nzuri tukutano huko? Nina hamu sana leo.
Hizo hamu zako zimekaa ki vingine sana.
Vipi kitimoto unapandisha twende fulldose?
Kumbe unataka kualikwa?Mimi nilidhani unataka kualika mtumi sina noma, ni wewe tu kunialika
Hebu semeni wapi kuna nyama choma nzuri tukutano huko? Nina hamu sana leo.
Heading yako imekaa kimtego, nilishtuka kweli nikajisemea kulikoni mwenzangu!
Tukutane Rose Garden,
Naomba lifti tafadhali, nishtue ukianza kuondoka
Njoo kwa Mzambia, ule mbuzi choma ya ukweli
makaburini karibu
Kama upo maeneo ya Sinza njoo hapa Mtekenyo bar. Utanikuta meza za juu.
Ndo nini sasa kukumbushana malikizo?makaburini karibu