nina gundu

sasa mkuu hii thread mbo0na umeitupa kwa JF doctors ...

ok kwa ushauri wa kidactari - kafanye plastic surgery uwe HB kimtindo...
 
Mungu anakuepusha na hatar ya dhambi na magonjwa ya kisasa

kaa chini piga magoti ,tubu na umshukuru mungu
 
Tafuta watu wa zamani kidogo wakupe ustadi wa kutongoza. Sisi wa sasa kwa kweli hatuna ujuzi huo kwani siku hizi kina-she hawapendi kupotezea watu muda kwa kujifanya hawataki. Sina kumbukumbu hata huyu mke wangu kama nilimtongozaga, kwa sababu hata sikumbuki tulianza anzaje mpk yakatukuta haya ya kuishi pamoja.
 
Kula chungwa asubuhi kabla hujatoka home nuksi zote zinaondoka.Unadhani kwanini kwenye breakfast halikosekani mahotelini?
 
M2 wangu vumilia kwani inawezekana huwa unatongoza madem walio ju ya uwezo wako more than classic pia angalia swaga zako bana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom