Nina degree ya Accounting and Finance, natafuta kazi

Salaam kwa wana JF wote, naomba mwenye kibarua aniunganishe tafadhali nina miaka 26, nina diploma ya Accounting, na degree ya Accounting and finance.

Nipo mkoa wa Arusha, hata internship nafanya hata kusogeza mafile tu hamna tatizo, hata kwa siku mkinipa 2000 ni sawa tu kama nitakuwa nafanyia mkoa wa Arusha ndugu zangu najua mnajua hustle tunazo pitia ambao hatuna ajira na kukaa nyumbani ni shida unaweza lala hata njaa.

NISAIDIENI WAKUU

Tuwasiliane tafadhali 0628035342
 
My colleague kama unatafuta kazi ni bora uanishe na skills ulizonazo ili kumsaidia huyu unayetaka akupe kazi ajue anakusaidiaje.

Ila kama ni fresher nakushauri tafuta intern ili uweze ku master skills ambazo zipo kwenye industry yako.

Coys always hire those who are highly qualified to their profession rather than their schools results.
 
Salaam kwa wana JF wote, naomba mwenye kibarua aniunganishe tafadhali nina miaka 26, nina diploma ya Accounting, na degree ya Accounting and finance.

Nipo mkoa wa Arusha, hata internship nafanya hata kusogeza mafile tu hamna tatizo, hata kwa siku mkinipa 2000 ni sawa tu kama nitakuwa nafanyia mkoa wa Arusha ndugu zangu najua mnajua hustle tunazo pitia ambao hatuna ajira na kukaa nyumbani ni shida unaweza lala hata njaa.

NISAIDIENI WAKUU
Na hii ndiyo shida iliyopo katika mfumo na sera za elimu yetu hapa nchini...tunaandaliwa kupata kazi tu sasa sijui hizo kazi nani anatupatia..

Pambana hata kwenye shughuli zingine kama kuliko, ufugaji na ishu zingine kikubwa ni kupata maokoto tu
 
Back
Top Bottom