Nina changamoto ya hasira kali mno!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Heri ya siku njema ya Jumamosi.

Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.

Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.

Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
 
Jaribu kudhibiti hisia zako kwa njia nyingi mfano. Kukaa kimya jambo linapotokea,kujaribu kupotezea/kuachilia jambo maana si lazima uliweke kwenye mind yako muda wote so jaribu kupotezea/kusahau kwa haraka kwa kujikumbusha kuhesabu mema kwa huyo bibie yaan mema yake yape kipaumbele/epuka kuyapa/kulipa kosa/makosa ukubwa ...hapa naamisha (kakukosea unaanza kusema kwa hili kosa hapana lazima nifanye ABC... acha kabisa hii kitu ndugu) na ikiwezekana hata kitu chochote atakochokosea bhas jichukulie huenda wewe ndio chanzo lakini hii inaleta udhaifu kidogo kwa upande wako
Lakini nje ya yote jaribu hayo juu hapo.
 
Sio Mimi ni Selemani ndio kasema
Screenshot_20231028-120244.jpg
 
Heri ya siku njema ya Jumamosi.

Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.

Wanasaikoloji nisaidieni nahisi nitapasua kichwa cha huyu manzi au nitamtoboa macho au whatever... naandika muda huu huku nina hasira sana.

Pleaseeeee sitaki nimkate kichwa. Sitaki nimuone tu nimeamua hivyo. Sitaki nimuone tena nimechukia mno... hajafanya chochote ila basi tu nina hasira mno pleaseee naomba nisiendelee
pepo la hasira litoke ndani yako katika jina la Yesu Kristo aliye hai pokea nguvu ya uponyaji in the name of Jesus.
 
Jaribu kudhibiti hisia zako kwa njia nyingi mfano. Kukaa kimya jambo linapotokea,kujaribu kupotezea/kuachilia jambo maana si lazima uliweke kwenye mind yako muda wote so jaribu kupotezea/kusahau kwa haraka kwa kujikumbusha kuhesabu mema kwa huyo bibie yaan mema yake yape kipaumbele/epuka kuyapa/kulipa kosa/makosa ukubwa ...hapa naamisha (kakukosea unaanza kusema kwa hili kosa hapana lazima nifanye ABC... acha kabisa hii kitu ndugu) na ikiwezekana hata kitu chochote atakochokosea bhas jichukulie huenda wewe ndio chanzo lakini hii inaleta udhaifu kidogo kwa upande wako
Lakini nje ya yote jaribu hayo juu hapo.
Sawa
 
Reaction yako ya mambo ni ya hasira kwa kila mtu au kwa huyo dada tu?

Nadhani una childhood trauma, kama unaweza trace utoto wako ulikuwaje/ulikuwa na changamoto gani. From there unaweza kujipa wakati wa kujielewa/kusamehe/kujisamehe.

Kutokana na maelezo yako, akili yako inamdefine huyo mpenzi wako kama threat, na kama threat inakuandaa kufight nae ndio maana reaction yako kwake ni hasira.

Sio hali ya kawaida kukasiria extremely, kukasirika kasira au kutokukasirka kabisa.
 
Mimi nina changamoto ya hasira kali sana. Hii inafanya niwe mtu wa kujiangalia sana. Mpaka nywele za kichwa zinasimama nikichukia, halafu nakuwa natisha mno... namuogopesha mno mpenzi wangu.

Ukiona unafanya jambo pasipo kuwa na uwezo wa kuicontrol nafsi yako, jua kuwa wewe ni kama spiritual vessel tu ndani yako kuna viumbe wengine wanaoipelekesha nafsi yako...
 
Soma Mithali 3:3- mwisho utaona faida za kujaa rehema,
Faida za kuwa-rehemu watu makosa yao.

Lipokee Neno moyoni mwako liku -transform your mind .

Mie niliponea hapo kwa huruma zake Mwenyezi Mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom