Arcad Atmos
Member
- Apr 18, 2013
- 33
- 0
- Thread starter
- #21
inakaa na chaji muda gani kwa jinsi unavyofaham?
2hrs
Ila wewe unaweza ukanunua betri halafu ikawa mpango mzima.
inakaa na chaji muda gani kwa jinsi unavyofaham?
nahitaji cm tajwa hapo juu.
Note 2 mpya kabisa nauza 350
Ipo hii note 2 bei ni 320000 betri ndio inazingua.
Contact 0763263740
Ninayo nauza 0717928162
Na mim nataka S3 mkuu nipo serious mwenye nayo an pm
nahitaji cm tajwa hapo juu.
Arcad Atmos umefanikiwa? Kama kuna mtu unamfaham niunganishe nae nataka moja kati ya hzo kitu
Na mm nahitaji note 2 kwa 300, kama kuna raia anayo anichek tufanye bisnes