Arcad Atmos
Member
- Apr 18, 2013
- 33
- 0
nahitaji cm tajwa hapo juu.
sorry ,nahitaji note 2 au s3Naomba nikuuzie samsung tab 1 kwa bei hiyo kama utaridhia kaka.
Charger yake ndio imeharibika na charger yake ni sawa na ile ya samsung note 10. Tab yenyewe haina tatizo. Ina ukubwa wa inch 7. Kama utapenda 0759960313
Arcad Atmos umefanikiwa? Kama kuna mtu unamfaham niunganishe nae nataka moja kati ya hzo kitu
Na mm nahitaji note 2 kwa 300, kama kuna raia anayo anichek tufanye bisnes
Betri Inakaa muda gani