Nimuachaje?

Jadilianeni muyamalize,ni kawaida kwenye ndoa.Usione watu wanatembea na kufurahi wanavumilia mengi.
 
ukisha kumwoa huwezi kumwacha kwa sababu za utani utani kama hizo.........................sababu za kumwacha ni kama una ushahidi usiopingika kuwa ni mwasherati tu.............hayo mengine uliaapa kuwa utayavumilia.....................endelea kuyavumilia huku ukisali na kufunga.............ukishinda mtihani huo Muumba atakuzawadia maradufu sana................ukishindwa huo mtihani Muumba takutumia maadui zako ambao utawatumikia..........................sura zao zitakuwa murua lakini roho zao zitakufanya umkumbuke huyu ambaye umemtelekeza..........so put up and shut up as well..........................you are a man..............are you not?
Rutashubanyuma kweli umeongea lakini kumbuka uvumilivu huwa una mwisho na hasa kama hakuna mabadiliko kila siku au hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Huyu jamaa angejaribu kumpuuza kwa muda asiumizwe na mambo yake . Mara nyingi akina mama wakiona wanapuuzwa na waume zao hujirudi lakini kama unamyenyekea kuna siku anamfulia pants by command.
 
ASanteni kwa maoni yenu nashukuru.kabila
Siwezi kutaja watu wasiwe'biased'.kuongea tumejaribu sana lakini mwenzangu mwingi wa maneno unaongea moja anaongea kumi na moja,hata kablA sijamaliza kuongea kesha jibu na kungeza yake mradi apindue maongezi nionekanenmi mwenye Makosa.
 
WEWE chemistry yenu is finished,unacho ogopa ni financial cost ya kuachana-unless u want to live in a lifeless marriage then u have to opt out-
 
Back
Top Bottom