Nimuachaje D?

Itakuja kula kwako maana hutajua D kapata taarifa saa ngapi na jinsi anavojitoa kwako atamtafta M kuna watu nawajua yaliwatokea ka yako mwisho kakosa yote kwahyo kumuandaa M kisaikolojia muhimu. Mficha maradhi pia inaonyesha hao wote wawatamani huna msimamo amua moja au huyo M uzuri umekuzuzua. Tena wakijua unawaxhaganya wewe utalia mno

Upo sahihi mkuu. Asante.
 
Bila Shaka huyu 'M' atakuwa pochi nene kwahiyo wasiwasi wako akigundua atakata umeme

Ushauri wangu kwawanawake kama 'D' mjitahidi sana kutafuta pesa uzuri wenu niwakawaida sana kwahiyo kitakachowabeba Sio2 mapenzi yenu yadhati bali hata mkiwa napochi nene pia itawaongezeeni CV maana kwaduni yaleo wanaume halisi tunaenda tunapungua kwakasi yaajabu sana
 
Wewe ni miongoni mwa watu uliyejitahidi kuijengea picha hii situation niliyonayo, na picha uliyoijenga ina usahihi mkubwa maana sijaweza kuandika kila kitu, nimelifupisha mno hili bandiko, lakini umeweza kusoma yasiyoandikwa.

Let's time not fool us, someone you knew in last 3 days, can be more important to your life than someone you knew in last last 3 years.

Nalichukua neno lako mkuu..! xfactor

Twende kazi kaka achana na uoga wa karma, pengine wewe ndio karma ya D kwa kumuacha boyfriend wake, inawezekana alimuacha bila sababu ili awe na wewe so ni mipango ya Mungu wewe kumuacha ili naye ajifunze.

Kamata tu M huyo na wewe akija kukutenda sio ishu Ndio maisha yalivyo cha msingi ni kwamba utakuwa na furaha.
 
Twende kazi kaka achana na uoga wa karma, pengine wewe ndio karma ya D kwa kumuacha boyfriend wake, inawezekana alimuacha bila sababu ili awe na wewe so ni mipango ya Mungu wewe kumuacha ili naye ajifunze.

Kamata tu M huyo na wewe akija kukutenda sio ishu Ndio maisha yalivyo cha msingi ni kwamba utakuwa na furaha.

Positive minded
 
Ngoja nikwambie kitu kaka Mungu fundi sana kinachokusumbua kwa sasa ni tamaa tu frust me. Hapo mke ni D na kwakweli umefanikiwa kutueleza hadi udhaifu wa D ika hujadiriki hata kidogo kutuambia udhaifu wa M. Ninauzoefu na hizi mishe M atakumwaga machozi na hutakaa uamini na utakavyo piga u-turn kurejea kwa D utakuwa usgachelewa sana na utakosa bara na pwani. Nenda kwenye maharusi katizame wanawake wanaoolewa they are very sasa wewe unataka wa kukuchallenge subili. Wanawake warembo sana ni mtego unaowamaliza majank wengi na wewe unataka kuwaonesha wana wa kitaa kuwa unajua kuchagua poa sisi watazamaji hatuna neno.
Ni mimi kaka wa D
Asomee hii comment mara 100 atatoka na uamuzi sahihi..
 
Dooh mapenzi bana...muache D maana utamuumiza tu ukiendelea kubakinae.kwenye mpenzi kama unaona zaidi kasoro alizonazo mtu kuliko mazuri yake bora uache aende kuliko kuendelea kumshikilia kwa uongo na kweli
 
mkuu kuna lile tatizo la researchers linaloitwa objectivity ndo limekukumba hapo. kwamba unavutia kule u akokutaka wewe.

of course wewe ndo mwamuzi wa mwisho kwenye hilo.


Kwa gharama yoyote, weka kipimo kitakacho au mtego utakaokuonyesha yupi atakufaa. ukiona ni D usimnyime haki yake.

chukua anayekupenda kuliko unavyompenda. Tatizo lako kupenda uzuri wa sura halitaishia kwa M pekee, utamzoea na utakuja kupata mwingine tena ujitie dilemma la kixenge tena.
 
Back
Top Bottom