TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,062
- 15,561
Jamaa yuko na demu zaidi ya mwaka, anamtoa out, demu anamuita "baby" hapo kuna haja gani ya kuendelea kumtongoza demu kama huyo? Huyo ni kushika mkono tuu unachukua chumba lodge iliyo karibu unamaliza mchezo.Uwongo