Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
- Thread starter
- #81
Mhhhh!!
Yaani mimi nilifaulu peke yangu kati ya 45. Wengi walibaki kijijini, wakaolewa na kuoa.....mwaka jana nilienda kijijini nikakutana na wadada wawili, yaani wana wajukuu tayari.....!!!
Yaani kila nikikumbuka nilikotokea, nasema "Hata sasa Bwana amenisaidia"
Dah,how thankful you should be just as i should.