Nimewamiss hawa wabunge...lini watarudi?

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
"Mheshimiwa Spika kwanza naomba kuunga hoja mkono kabla sijasahau. Mheshimiwa spika; naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini maji aslimia 70 tayari na hizo 30 zitakamilishwa ifikapo mwaka 2015 kama ilani yetu tukufu ya CCM inavyoelekeza, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi kutuletea maendeleo lukuki.Na naomba wananchi wawapuuze CHADEMA kwa kitendo chao cha kuichonganisha serikali tukufu ya CCM na watanzania.

Mheshimiwa...Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo madogomadogo yaliyo katika jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?

Mheshiiwa spika naunga tena mkono hoja mia kwa mia"

pwa pwa pwa pwa...
 
kuelekea 2015 hatutasikia kabisa
 
Mh. spika alafu naomba serekali yangu hii sikivu ya ccm ikichukue hatua kali dhidi ya chama hiki cha Chadema kwa kufanya makosa yafuatayo:-

-Moja Inawachonganisha wananchi na serekali yao sikivu ya ccm kwa kutoa siri za nchi kama mikataba ya R.mundi,Meremeta,Eppa nk.

-Pili Chadema inasababisha uchumi wa chama chetu ushuke kwani wamekuwa wambea kwa wananchi mpaka ile biashara yetu ya sembe na meno ya yule mnyama imekuwa ngumu.

-Tatu Chadema inailazimisha serikali yetu ya ccm kutekeleza ilani yao ya chama kama Elimu bure,Afya bure wakati kila chama kina ilani yake.

-Nne Chadema wamezidi kufanya mikutano ya siasa mpaka ccm inaonekana imekalia kula ruzuku pasipo kuifanyia kusudi kusudiwa.

Kuna mengi Mh.spika ila kutokana na kengele ya pili kulia wacha niishie hapo na napenda kusema naunga mkono hoja asilimia mia kwa mia.
 
Mwezi wa 5 na 6 wakati wa bajeti, huwa wananifurahisha sana hawa wabunge wa chama chakavu.
 
Wabunge wengi wa ccm ndio walivyo yaani ovyo kabisa wanafanya utoto kabisa alafu eti tunawaita waheshimiwa, mimi huwa nawafananisha na mtu aliyevaa viatu alafu anajitapa eti amatembea peku tena kwenye miiba haliyakuwa viatu vinaonekana au mtu anayetembea uchi wa mnyama ukimuuliza anakwambia nimevaa
 
Wajomba leo mmenifurahisha.mm haya mabunge ya magamba hilo jina la uheshimiwa nishalifutaka labda ndugu yangu kangi lugola na deo filiku wa njombe, lakini the rest ni magamba tu mpka maspika wao wapo kisiasa kuzima hoja za msingi za upinzani ila wanajua muda wao umefika
 
"Mheshimiwa Spika kwanza naomba kuunga hoja mkono kabla sijasahau. Mheshimiwa spika; naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini maji aslimia 70 tayari na hizo 30 zitakamilishwa ifikapo mwaka 2015 kama ilani yetu tukufu ya CCM inavyoelekeza, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi kutuletea maendeleo lukuki.Na naomba wananchi wawapuuze CHADEMA kwa kitendo chao cha kuichonganisha serikali tukufu ya CCM na watanzania.

Mheshimiwa...Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo madogomadogo yaliyo katika jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?

Mheshiiwa spika naunga tena mkono hoja mia kwa mia"

pwa pwa pwa pwa...
Ccm hao teh teh teh.
 
mh supika kabla ya yote nakupongeza kwa kuchaguliwa kutuongoza hapa mjengoni.
pili nampongeza rais kwa kuchaguliwa mara ya pili
nampongeza makamu wa rais
nampongeza waziri mkuu
nawapongeza wabunge wote kwa kuchaguliwa tena na wanachi.
_natoa pole kwa kuondokewa na mbunge mwenzetu mh.....
mh supika naunga hoja 100%
 
Hahaha...chama chakavu kina matatizo
 
Back
Top Bottom