Nimewafukuza "kausha damu" walionitembelea kwa lengo la….

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,744
18,006
Kuna mwanadada niliyemuita ghetto for the first time baada ya mawasiliano ya muda mrefu, akaja na mwenzake ili nisipate nafasi ya kumla. Wakapika wakala Wakati wa kuondoka kwa kuwa huyu niliyemuita kwao ni mbali nauli ni elfu mbili kwa bodaboda nikampa.

Akaniambia "hii hela gani? usiku umeanza kuingia Hii hela hatoshi nauli"

Kimoyomoyo nikasema kwa lugha hii hakuna mke hapa. nikampa elfu moja nyingine iwe elfu tatu ili akidaiwa zaidi aweze kulipa. Mwenzake kwao napajua, ni mwendo wa dakika kumi kwa mguu hivyo sikuona haja ya kumpa nauli lakini huyu wangu akaniambia umenipenda mimi ni lazima umpe na rafiki yangu.

Kwa lugha yake ya kiduanzi nikajua hakuna mke hapa. Nikamuambia naomba hiyo elfu tatu niwape elfu 10 mkagawane. Akanipa, nikamuambia kwanza huna nidhamu unaniamrisha kama tupo jeshini, tokeni kwangu. Nikachomoa jambia nikawafukuza wakaondoka kwa miguu. Washenzi sana. Wandadhani sisi tunapataga hela kwa kuokota dumple. Ushauri, kwa sisi ambao bado hatujajipata tuachane na mademu, tupambane kujitafuta
 
Yeah uba umri gani mguu.
 
Umemuona wapi?
Haya mambo wewe kama hujatafuta wife material utaona kama hadithi.

Imenikuta mara mbili. Ya kwanza nyumbani kwangu alikuja na Shangai ake baada ya dakika cache akaongezeka dem aliyemtambulisha kama classmate. Nikahudumia nauli mbali na mapochopocho. Miadi yetu ilikuwa wazi aje apike tuna tule na vingine. Nilikuwa naji smilisha kiuchngu.

Mara ya pili aliniforce kabisa kwamba sh 5000 haitoshi kitu. Nikaona hapa huu ni mfupa utawafaa mafisi. Nikaweka uongo mtakatifu akajaa nikammwaga.

Lkn pia niliishakutana na kung-fu.. wanawake makunguru wanarukarukq bila haya. Baada ya kuwa naye na akajizolea asilimia 80. Ukunguru ukachukua nafasi yake. Akatoka na .jamaa mwimgine japo anakupendq. Hawa wanawafaa wanaume wanaopenda bitches. Yaani yeye ulitaka wewe u ajilia tu. Yaani ni kama kiti cha daladala unakaanunashuka anakaa mwingine. Kutafuta wife sio ishu ndg

Kwa hiyo najua mambo haya
 
Kuna mwanadada niliyemuita ghetto for the first time baada ya mawasiliano ya muda mrefu, akaja na mwenzake ili nisipate nafasi ya kumla. Wakapika wakala Wakati wa kuondoka kwa kuwa huyu niliyemuita kwao ni mbali nauli ni elfu mbili kwa bodaboda nikampa.

Akaniambia "hii hela gani? usiku umeanza kuingia Hii hela hatoshi nauli"

Kimoyomoyo nikasema kwa lugha hii hakuna mke hapa. nikampa elfu moja nyingine iwe elfu tatu ili akidaiwa zaidi aweze kulipa. Mwenzake kwao napajua, ni mwendo wa dakika kumi kwa mguu hivyo sikuona haja ya kumpa nauli lakini huyu wangu akaniambia umenipenda mimi ni lazima umpe na rafiki yangu.

Kwa lugha yake ya kiduanzi nikajua hakuna mke hapa. Nikamuambia naomba hiyo elfu tatu niwape elfu 10 mkagawane. Akanipa, nikamuambia kwanza huna nidhamu unaniamrisha kama tupo jeshini, tokeni kwangu. Nikachomoa jambia nikawafukuza wakaondoka kwa miguu. Washenzi sana. Wandadhani sisi tunapataga hela kwa kuokota dumple. Ushauri, kwa sisi ambao bado hatujajipata tuachane na mademu, tupambane kujitafuta
Kijana unataka kutoboa kimaisha achana na mademu wa siku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom