Nimevumilia nimeshindwa

Karibu jamvini Mazandu......naomba kukuuliza maana ya jina lako hili...niwie radhi kama nitakuwa nimekukwaza kaka/dada
 
Karibu sana.............we ni he au she?

BTW nimelipenda jina lako...!

Jinsia yangu inakuhusu nini asprini? thx kulipenda jina langu. lako pia zuri.

kutokana na jins ulivyomjibu panadol, inaonekana ni ke.

yah uyu ni mwanamke kutokana na majibu yake

Aaaa,tena atakua KIGORI
Ahsanteni kwa upembuzi wenu........... I hope mtaniachia niendelee naye.
 
Mazandu sounds very familia indeed

karibu tena

Karibu jamvini Mazandu......naomba kukuuliza maana ya jina lako hili...niwie radhi kama nitakuwa nimekukwaza kaka/dada
Nami pia najaribu kusoma between them lines..... lazima hili jina lina namna flani hivi.....

Ntaweka kambi hapa mpaka kieleweke
 
Nami pia najaribu kusoma between them lines..... lazima hili jina lina namna flani hivi.....

Ntaweka kambi hapa mpaka kieleweke

Mhhhh....Babu mwenzangu...Unanikumbusha usemi kuwa.."hazina yako ilipo ndipo na moyo wako ulipo"...Naamini mgeni atategua hiki kitendawili haraka!!
 
Mhhhh....Babu mwenzangu...Unanikumbusha usemi kuwa.."hazina yako ilipo ndipo na moyo wako ulipo"...Naamini mgeni atategua hiki kitendawili haraka!!
Mzee mwenzangu naomba hatimiliki niifanye hiyo red iwe signature yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom