Nimeua mtoto wa mwenzangu

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,362
874
Muumini alikuwa anaungama katika kibanda cha kitubio
muunini:nimeua mtoto wa mwenzangu
padre:ilikuwaje?
Muumini: alikuwa amemlaza nikamuua
padre akachungulia kidogo akaona muumini ana umri mdogo, hata hivyo akaendelea
padre: kwa nini ulimuua?
Muumini: nilikuwa sijamuona nikamkanyaga shingoni akafa. Alikuwa wa udongo
 
Back
Top Bottom