Nimetongoza miaka mitatu sijaona ndani

Ha! Ha! Haaaa! Buj, hujalidhika kuachwa, unataka kuachana. Unadhani kuachana ni bora kuliko kuachwa? Mwenzako alikwishakuacha kitambo tu.
 
Big up kwa huyo dada. Ameshakujua upo kwa ajili ya burudani tu na yeye huenda hiyo ngwe ameshaimaliza, so anatafuta mtu ambae atakuwa na future nae na ambaye ni husband material.

Acha kujiendekeza...muache mtoto wa watu aendelee na yake, sio kila siku kumgandaganda tu kama luba
 
3 good yrs na bado tunalaum ugumu wa maisha huku shughuli kubwa tunayofanya ni kutongozana.
 
Hiyo miaka mitatu yote unasema nini? Namekuota,nakupenda,nikinywa maji nakuona kwenye glasi?? Leo ukimwona mtongoze hivi: unaelekea kibla au uelekei? akisema sielekei umwambie hivi:nina laki moja iko chumbani kwangu haina kazi nataka nikupe,mkuu utashangaa leo hii hii unakula mzigo.NB: Usije ukawa unajipendekeza tuu ukidhani unatongoza mkuu kwa maana miaka mitatu si haba kwa shuguli ndogo kama hiyo.

Yan jamaa ni more than à zobaaa. Mimi mwezi dem hanikalishi.....like seriously muda wote huo nangoja nn ????
 
Jit
Habari zenu?

Kuna dada nilimtongoza muda mrefu karibia miaka mitatu sasa lakini mpaka sasa sijaona kitu. Tokea mwanzo alikubaliana na ombi langu, ila utekelezaji wake umekuwa mgumu.

Kuna kipindi nilipanga kuachana nae lakini baadae nikamtafuta mwenyewe.

Sihitaji kuoa na yeye analijua hilo kama haliwezekani. Naombeni ushauri namna ya kuachana nae, binafsi kama nimeshindwa.
Jitu zembe hili!sasa kimekushinda nini kugegeduka nae?tena inaelekea muda wote huo hata mgegeduko wake humjui!
 
kijana umenikumbusha enzi zangu kupigwa kalenda miaka mitatu ilikuwa kawaida, ila haya ya digital utajibeba.
 
Yan jamaa ni more than
à zobaaa. Mimi mwezi dem hanikalishi.....like seriously muda wote huo
nangoja nn ????

ahaaaa umenichekesha ndan ya mwezi unadai? kwa lip ambalo unakuwa umefanya mpaka akuone wa kujitambua? mwaka hapo sawa landa kwa cheap ladies hapo sawa ila wakina mm mm ahaaaaaa
 
mbake ukatupwe jela 30 yrs utakua umeachana nae mazima,ukirudi ushaishaa
 
kama hutaki kuoa unajisumbua bure, wanaotaka kuoa wamekubaliwa! we kula ugali tu kwa picha ya samaki
 
ahaaaa umenichekesha ndan ya mwezi unadai? kwa lip ambalo unakuwa umefanya mpaka akuone wa kujitambua? mwaka hapo sawa landa kwa cheap ladies hapo sawa ila wakina mm mm ahaaaaaa

We mwenyewe cheap vile vile. Sitongozi dem wa kishamba hata siku moja...tunatofautiana ki bahati, mbinu bila kusahau vitendea kazi Tehe..unafkiri kila mtu ni zoa zoa tu ??? Acha balaa mtoto. Ukitaka kujua mbinu zangu ntafute.
 
We mwenyewe cheap vile
vile. Sitongozi dem wa kishamba hata siku moja...tunatofautiana ki
bahati, mbinu bila kusahau vitendea kazi Tehe..unafkiri kila mtu ni zoa
zoa tu ??? Acha balaa mtoto. Ukitaka kujua mbinu zangu ntafute.

ebu toa zalau kwanza kua ndo useme ni kutafte. watoo wa siku izi majanga.
afu iyo case ya kutafta under age nitaiweka wap mkuu?
 
Habari zenu?

Kuna dada nilimtongoza muda mrefu karibia miaka mitatu sasa lakini mpaka sasa sijaona kitu. Tokea mwanzo alikubaliana na ombi langu, ila utekelezaji wake umekuwa mgumu.

Kuna kipindi nilipanga kuachana nae lakini baadae nikamtafuta mwenyewe.

Sihitaji kuoa na yeye analijua hilo kama haliwezekani. Naombeni ushauri namna ya kuachana nae, binafsi kama nimeshindwa.

Ndio nini kuja kunitangaza hapa... Kwa taarifa yako hutokaa uone ndani ng'o!

Walau ukifikisha miaka 7 naweza kukufikiria
 
Back
Top Bottom