Nimetimiza Post 2000..Je naihitaji kubadilika?

Bling bling is my girl a while back nilikuwa najaribu hook her with my cuzin mwanakijiji but it didnt work out si unajua bling mtoto wa mjini na my cuzin ni conservative so it didnt work out....LOL!
Naikumbuka ile issue... lkn cousin wako alikuwa ajatulia, manake kuna yule dada wa Denmark or Norway naye akimfagilia kuja kwenye ile bash yako...

Thread imeshatekwa....na hawajaingia NN na YNIM
:D :D
Mwenye thread anakwenda likizo kwanza, hataki kuchafua 000 zake.
 
Naikumbuka ile issue... lkn cousin wako alikuwa ajatulia, manake kuna yule dada wa Denmark or Norway naye akimfagilia kuja kwenye ile bash yako...

yule demu wa denmark alikuwa anaitwa Lisa...sijui alichanganyikiwaga na jina mmh cuzin wangu enzi zile alikuwa pedeshee la nguvu though alikuwa na kigugumizi cha mdomo kuandika aaah alikuwa anawapata na mashairi yake lol!...

:D :D
Mwenye thread anakwenda likizo kwanza, hataki kuchafua 000 zake.

hahahahahah very funny!
 
am back..

Thanx Mfumwa and All,

sijakimbia ila nilikuwa kwenye sherehe ya kupongezwa

Hivi Kada Mpinzani yuko wapi wakulu
 
Hongera sana kwa machango wako makini. Usipumzike endelea mbele na makombora ya kuelimisha jamii yetu. Keep it up.
 
Hongera sana kwa machango wako makini. Usipumzike endelea mbele na makombora ya kuelimisha jamii yetu. Keep it up.

Tuendelee kuchukia dhuluma kuu..Heshima Mbele!
 
Hongera sana muzee, sasa unatakiwa ukimbilie kutimiza mabandiko 10,000. Although, to me the most important thing is the contribution of different ideas rather than chasing number of posts. We should realy continue thinking differently because that is one and only way towards country's development. Any country will foster her development not because they have abundant natural resources (like Tanzania) but they do have brain-think-tankers.
 
Gembe,
Umeniwahi kuweka hii thread, hujanitendea wema kabisa mkuu...nimeghafirika kinamna yake, mithili ya mwenzawako anapokuambia kuwa 'you know today meant to be our third anniversary' siku ikiwa ndo inaishiaishia... you know the guilty that befollows...

Hongera Sana Mkulu kwa kuvuka mabandiko 2000. Wembe uleule: kuhakikisha Taifa letu linapata maendeleo ya haraka kwa kumkoma nyani giladi....!!

SteveD.
 
- Gembe chapa bakora mkuu, saafi sana tupo wote kwenye mstari hongera kwa mabandiko 2000 na uwe ni mwanzo bado safari ndefu sana, mpaka kieleweke huku tukiwa independent na thinking for our own, I am down mkuu!

FMES Wazee wa sauti ya umeme!
 
Ongera kwa kazi nzito uliyofanya maana siyo mchezo ni kazi nzito sana. Endelea kuwaelimisha watanzania kwani tunaamini kuwa hipo siku kila mtu atajua wajibu wake na kuchukua hatua. Ongera sana.
 
BTW...Kule nyenzi kulikuwa na mama mmoja anaitwa Mama Ntilie huyu mama alifanya kazi enzi za nyerere alikuwa so wise na nilikuwa napenda sana kusoma post zake sijui alipoteleaga wapi...Toka nyenzi ifungwe basi sijamsikiaga tena...wale watu wa nyenzi enzi hizo do you have any idea Mama Nitlie yupo pande ipi jamani eeh!?...smart lady she speaks her mind...pOWER To Women!...

Kelly,
Mama Ntilie yupo hapa JF anadunda. Labda kwa sasa kachukua likizo lakini huwa anaingiaga huku kumwaga vitu vyake. Na mimi nilikuwepo Nyenzi enzi hizo pamoja na kasisi Kishoka. Long live. Na pongezi Gembe kwa kutimiza 2000.
 
Hongera sana Mkuu kwa jitihada zako hapa Jamvini. Mchango wako wengi tunauthamini sana na uendelee hivyo hivyo kama kuna mazuri unayoyaona hapa basi usisite kuyapenyeza kwa walio juu ili wayafanyie kazi.
 
..hongera sana mkuu gembe ..libeneke linaloendelea hapa linahitaji wana wa nchi mliotukuka kama wewe....tunakupongeza...,sana keep it up!!!
 
Hongera Gembe.
Michango yako ni ya muhimu hivyo huna budi kukaza buti mkuu.
Hongera kwa kazi nzuri. Wengine sijui tutafika lini. Endelea kutuombea nasi tufike huko.
MF
 
Hongera sana kwa kufikisha post elfu mbili. Huhitaji kubadilika chochote ila ongeza ka-ukali kidogo.

Hongera sana mpiganaji mwenzagu, Y2k siyo mchezo
 
Hongera sana mkulu Gembe kwa mabandiko yako haya 2000...Mungu akubariki na akuzidishie uwezo wa kufukunyua mambo na kuyaleta humu jamvini tuyajadili(kukata issues kama anavyopenda kusema mkulu FMES mzee wa sauti ya umeme)...Otherwise hongera sana mkulu,kaza but safari bado ni ndefui,Taifa latutegemea hili mazee....ALUTA CONTINUA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom