Nimetimiza ndoto nimepata mke jamii forums

kwanini tu

Member
Nov 8, 2011
50
63
pamoja na kutapeliwa hela zangu humu, kuna mdada nimebahatika kuongea nae humu kanikubali na nitamuoa tu huu mwaka hauishi mtajiju wenye wivu jinyongeni
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Hujakoma tu?ngoja uibiwe tena,anaweza akawa dume simu kampa demu ili aongee.SHAURI YAKO
 
Ina maana we mistari yako imesha-expire au?. Mungu akujaaliwe asijekuwa tapeli.
 
yaleyale mambo ya RR ku flirt kwenye PM kweli nimeamini usidharau nazi embe tunda la msimu..by bepali la kiyaha..
 
tumebakisha siku 18 kumaliza mwaka. tunasubiri hiyo siku tualikwe harusi ya wanajf
 
pamoja na kutapeliwa hela zangu humu, kuna mdada nimebahatika kuongea nae humu kanikubali na nitamuoa tu
huu mwaka hauishi mtajiju wenye wivu jinyongeni
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Sasa wewe umejiunga hata mwezi tu haujaisha umeshasema kuna watu wamekutapeli!! Mbona unaonekana mgeni humu!!! Haya bana hongera.
 
"naomba mkuu unirudishie hela yangu nadaiwa jamani". hahahaaa...!! mkuu alikurudishia? hongera zako kwa kupata kimwana. mimi kantema inabidi nianze kutest zali tena. Mia
 
Ndio maana umebadili na jina???? Umeliwa

acha kujifariji, owa kwanza ndio ulete hizo stori zako.
 
Kama umepata mke hongera lakini hiyo mipasho haituhusu kabisa

Halafu inaonyesha unapenda sana taarabu wewe
 
"naomba mkuu unirudishie hela yangu nadaiwa jamani". hahahaaa...!! mkuu alikurudishia? hongera zako kwa kupata kimwana. mimi kantema inabidi nianze kutest zali tena. Mia

ha haaa haaa

naikumbuka ile thread yake ya kuibiwa hela na jamaa aliyejifanyisha ni mdada

hebu atuwekee ule uzi tucheke kidogo tena , huu ni mwisho wa mwaka
 
Back
Top Bottom