fazalazakata
Member
- Sep 10, 2011
- 72
- 5
kazi za sasa hivi siyo kujua kazi bali kujuana.mia
huo ndo ukwel
kazi za sasa hivi siyo kujua kazi bali kujuana.mia
halafu aweke maneno haya"wameshanivurugia kalatasi zangu,swaumu kali nimeamua kufungulia.miaMimi nitaongeza $10000 akikamilisha kazi hiyo!asisahau glass ya maji na glucose pembeni
halafu aweke maneno haya"wameshanivurugia kalatasi zangu,swaumu kali nimeamua kufungulia.mia
halafu aweke maneno haya"wameshanivurugia kalatasi zangu,swaumu kali nimeamua kufungulia.mia
Hello great thinkers jamaa wamenijibu hivi,
Tigo Tanzania Habari Jackson,tunashukuru kwa kuleta wazo lako kwetu,tafadhali tujazie fomu ya customercare tab na kuituma kwenda customercare@tigo.co.tz39 minutes ago · Unlike · 1
IT IS NOT FIXED IT CAN BE EDITED,and thanx kwa ushauri pia tupo wote!
ndio hiyo video ya visungura vinarukia apple au?
Sawa mkuu pamoja nakuwa ni editable kuna kitu ukipeleka kwa muhusika aliye serious anaweza uona huijui producct yake vizuri. Ataona unataka kutangaza Product ambayo hujapata muda hata wa kueelewa colur code zake. Ni kiu idog lakini kinaweza kuwa btn making and loossing a deal. Sasa ukitumia colour code zinazoonekana zimekaa ki Aittel Airtel Au Vodacom wanaweza kudhani una wasanifu. So wakati tangazo linaweza lisiwe katika viwango vyao knowlede yako ya product katika tangazo inaweza kukusaidia kupata deal. So hata ukiaambiwa Kuwasilisha hiyo Idea yako ifanyie marekebsiho zaidi . Sio kwa kuwa ni rahisi ku edit upeleke hiyo hiyo. BTN Naona umepata initial respsonse nzuri kupitia FB. kama huna chip ya tigo pia itafute fasta.Kwenye formu zao onyesha ni mteja wao. Ni Vitu vidogo vidogo lakini vinaweza kuwa na impact +vE or -VE hasa kwa mtu anayetaka kupenetrate kwenye soko kwa mara ya kwanza. Ndiyo hiyo hiyo Gaijin visungura viwili.
Mtazamaji thanx!But what exactly Tigo's color?
If u re serius kuhusu hiyo kazi yako na kama uko seroisu kwenye mambo ya grahpics na matangazo you should know or research about that. Sorry sitakupa jibu moja kwa moja . Ni rahisi sana kupata hata kwenye banner yao ya JF unaweza kuzitambua. Au hata kwenye website yao pia unaweza kuzitambua.
unaweza kujua tigo prefered domininat colour na colour nyiginezo hapa ::: Tigo :::
Mkuu great design..., lakini kwa ushauri naona ungeangalia message conveyed....
Umeonesha vema kwamba waliposhindwa kufika wengine Tigo wameweza..., (lakini ukweli ni upi...) sababu advert promotion inabidi inaconvey message ambayo inaukweli ndani yake..., sababu unaweza kudesign nakushauri kwa advert yako nyingine watumie airtel (sababu wenyewe coverage yao ndio kubwa zaidi...., mfano labda kuna watu wawili au watatu wenye rangi za tigo; voda na zantel wanajaribu kufika juu ya mlima au kufika ngambo ya mto (ambayo itakuwa inarepresent tanzania....) wanaangaika na ngazi zao au daraja ambalo ni fupi na harifiki....
Ghafla anakuja jamaa mwenye rangi za airtel na amevaa nguo zimeandikwa airtel...., na ngazi yake ndefu..., na anavuka mto au anaweka ngazi yake ambayo inafika juu ya mlima bila shida na wengine wanabaki kushangaa....!!!
Au Sungura wako badala ya apple iwepo label juu imeandikwa wateja (customers) na wengine wenye rangi za tigo, voda na zantel wanaruka wanashindwa..., alafu anakuka zain anaruka kirahisi na kuipata hiyo banners ya customers...
Alafu mwisho yanakuja maneno..... Airtel.....!!!! We reach places where others dont......
Hongera sana nimeiona clip ni nzuri, mi nimeipenda. Pole kwa mapokezi mabaya lakin usikate tamaa jaribu kumwona Manager muhusika anaweza kukusaidia
Japo sijaiona lakini nimependa ujasiri wako wa kuwaingia tigo.
Kwa kweli mimi binafsi umenitia moyo.
Ila ushauri wangu kampuni sio tigo tu nenda sehemu ingine.
Don't force ur idea to be accepted!tengeneza la ukimwi kisha peleka tacaids.