nimesoma degree ya kiswahili lakini nataka nisome masters ya public health itawezekana kweli?

Searching.....!
Please wait....!
Loading system files...!
Cannot open system files,they might be corrupted or deleted!
Instal them later!
 
haiwezekani kusoma hiyo kitu Kama hujasoma any coz ya mambo ya Mediciene, Sociology au kwa wale wa IT kama umesoma kitu chochote kuhusiana na Health Informatics ndo unaweza soma hiyo kitu.
 
haiwezekani kusoma hiyo kitu Kama hujasoma any coz ya mambo ya Mediciene, Sociology au kwa wale wa IT kama umesoma kitu chochote kuhusiana na Health Informatics ndo unaweza soma hiyo kitu.

Na waliosome HR mbona wanafanya hiyo master?
 
Hiyo mixture unayotaka kutengeneze ni balaa..Mbona ka havina uhusiano kabisa ingawa inawezekana!? Nakushauri degree ya kwanza fanya yoyote inayohusiana na Management af ndo uje upige hy kitu unayotaka manake na yenyewe inahusiana na Management.
 
Wasikuzingue ndugu kwa wingi na utitiri wa hivi vyuo vya kata unaweza kusoma..ni mkwanja wako tu.

kama huamini nachokwambia tafuta cv ya dr haji mponda waziri wa afya uone alisomea nini hadi baadae akasomea mambo ya health management.
 
Google hiyo course kwenye vyuo ujue sidhani kama hili linahitaji kutufikirisha,vinginevyo kama unataka ushauri kuhusu uamuzi huo
 
Inawezekana ndugu yangu, ila utapata shida mwanzoni lakini uta adapt baada ya muda. Itabidi utumie nguvu nyingi ili usije ukadakwa mengi.

kwa kuanzia search hebrew university of jerusalem, public health. website nimesahau ila ukisearch utapata.
 
Back
Top Bottom